mbona hukuwah kuyasema haya siku zote kama kweli chadema ni chama chenu? kwanini leo....? msiba wa cdm ukiona wanaopiga mayowe zaidi ni wanaccm juwa kuna namna hapo....
1. Hakuna institution itayoendelea kwa kuentertain mawazo yanayofanana tu. Hapa nakubaliana naye
2. Zitto akienda chama kingine will gain momentum and CHADEMA will fall. Anatoa mfano wa mrema miving to TLP from NCCR Mageuzi. Hapa naona kama anaota vile.
NB. He seems to struggle to regain psychological relief.
1. Hakuna institution itayoendelea kwa kuentertain mawazo yanayofanana tu. Hapa nakubaliana naye
2. Zitto akienda chama kingine will gain momentum and CHADEMA will fall. Anatoa mfano wa mrema miving to TLP from NCCR Mageuzi. Hapa naona kama anaota vile.
NB. He seems to struggle to regain psychological relief.
Kwenye Chai asubuhi hii hapa Utawala UDSM
funguka ueleweke kamanda,acha kubania habari.
Kitila amruka Slaa
Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Dk Kitila Mkumbo amesema kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Wilbrod Slaa kuwa alikiri kwamba Zitto alikuwa akiujua waraka wa Mkakati wa Mabadiliko 2013, ni za kutunga.
Juzi, wakati akieleza uamuzi wa kikao cha Kamati Kuu kuwafukuza uanachama aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba na Dk Kitila, Dk Slaa alisema wakati akihojiwa na Kamati Kuu, Dk Kitila alisema Zitto alikuwa akiujua waraka huo.
"Siyo kweli. Hata siku moja sijawahi kukiri kwamba Zitto alikuwa akiufahamu waraka, kilichosemwa na Dk Slaa ni uongo."
."
Kwahiyo amesema neno hilo tu kisha akanyamaza kimya?
Msaky&Co mnalinajisi gazeti la Mwananchi. Mnazidi kujivua nguo hadharani.
Huyu mwenzenu karekodiwa akiyatamka aliyoyatamka mbele ya CC. Habari ndio hiyo.
Mwigamba afafanua
Mwigamba alisema hakuhojiwa na Kamati Kuu kwa sababu yeye ni Msabato na Siku ya Sabato, hairuhusiwi kufanya jambo lolote zaidi ya kumwomba Mungu. "Waliniita Ijumaa (Januari 3) ili nihojiwe lakini mpaka saa 12 jioni sikuwa nimehojiwa na niliwaeleza kuwa jua likizama sitakubali kuhojiwa kwa sababu itakuwa imeanza Siku ya Sabato," alisema.
Alisema kikao cha Kamati Kuu kiliendelea Januari 4, mwaka huu, pia hakuweza kwenda kuhojiwa kwa sababu ilikuwa Sabato, pia alikuwa kanisani, "Niliwaambia kuwa nipo tayari kuhojiwa Jumapili, hawakunijulisha kama wameridhia."
Dk. Slaa aseme uongo ili iweje? Kitila ni sisimizi tu
Mhadhiri wa Chuo kikuu na Mjumbe wa Kamati Kuu leo amekuwa sisimizi?
Gongo mbaya sana ndo nimeanza kuelewa.
Haya wewe Tembo unanafasi gani chadema na Tanzania?
Dr Slaa anakiwanda cha uongo
Ni aibu kwa mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Mungu kusema uongo kwa taifa zima tena akizungukwa na wapika uongo wenzake
Mnyika anajidhalilisha kukaa na lile genge la wahuni wapika uongo
Mbowe na Dr Slaa mtuachie chama chetu na mumchukue na lema mwende nae