Dr. Kitila amkana Dr. Slaa

Dr. Kitila amkana Dr. Slaa

Ningelikuwa ni Zitto, Kitila au Mwigamba muda kama huu ningelikaa kimya tu.

Unamtuhumu kuwa Slaa ni muongo wakati maamuzi yalifanywa na jopo la watu kadhaa na kusomwa na Slaa.

Ina maama maamuzi yale yangelisomwa na Mbowe kama utaratibu unavyohitaji, si ajabu leo hii Kitila angesema Mbowe ni muongo.

Mkuu no doubt Kawambwa na Mulugo wameleta division 5 baada ya kujua kuwa zilikuwepo kabla ya kurasimishwa. Kitila gives the public an opportunity of doubt. Na huyu alikuwa ni Rais wa DARUSO na dean of students DUCE. I fail to imagine the products that have been lectured by him. They will have the homework to embark on self negation
 
Hili jambo linanikera hata mimi. Sijawahi kuwa mwanachama wa ccm wala CDM, bali napenda sana mabadiliko. Simjui Zitto, wala Mbowe wala yoyote. Na isitoshe siishi Tanzania na sitegemei ccm ili kuishi,nashangazwa sana na ukionyesha mtizamo tofauti unapewa chama hapohapo kuwa CCM, khaaa! Binafsi naichukia sana ccm na nikipewa uanachama hata wa jukwaani huwa inanikera. Wana CDM heshimuni mawazo ya wengine si kweli kwamba sote ni ccm. Nalisema hili kwa dhati kabisa ya moyo wangu. Hao ccm wanaomsapoti zitto bila shaka wana ajenda yao. Ila binafsi sina agenda yyte ila napenda kuona demokrasia ya kweli CDM isiwe copy & paste ya CCM

Hii ni kawaida ya watu wanapozidiwa hoja. Hawana uwezo wa kukabiliana na hoja za akina Zitto na Kitila. Wanachofanya sasa ni kuwa-label, na hii ndiyo tabia ya madikteta wote duniani!
 
Hujui hata unachokiandika hapa ni nini bias mkubwa wewe!Why CCM unawataja tu walio bora lkn CHADEMA unawataja unao ona wewe sio bora?Why usifananishe na CHADEMA ya Prof Safari;Prof Baregu,John Mnyika na wengineo!Why usiitaje CCM ya akina Lusinde,Prof Kapuya,Madabida,Rage na wengineo wa hovyohovyo??

Duh...kumbe na wewe unajua Mbowe/Slaa/Lema/Sugu/Msigwa ni viongozi wa hovyohovyo?atleast akili yako imeongea kile ambacho moyo wako unajitahidkutokiona.

Kama Mh Sitta alivyowahi kusema,Chadema ina wigo mwembamba sana wa viongozi,hakuna namna utataja majembe ya Chadema bila kuwataja Mbowe/Slaa/Sugu/Msigwa na Lema,ndiyo viongozi wenyewe hawa...usiwanyanyapae..

..Na bahati mbaya majembe haya ndio yanalingana sifa na hao vidampa wa CCM uliowataja,so unaweza kuona tofauti iliyopo kati ya ubora wa CCM na ule wa Chadema ukizingatia uwezo wa majembe yake.

Nani kaisifia CCM?naichukia sana CCM na bila shaka nilianza kuichukia CCM ata kabla hujajua siasa ni nini LAKINI pamoja na chuki yangu hiyo lakini nautambua ukweli mchungu kuwa hii CCM Mbovu bado ni bora maradufu kuliko Chadema ya Mbowe na Slaa.Na uchaguzi wa kutoka kwenye "kibovu" kwenda kwenye "kibovu zaidi" sio uchaguzi wa mtu mwenye akili timamu.

Chadema ilikuwa na nafasi ya kujijenga kuwa tayari kutawala lakini ndio kwanza ipo busy kujidhatiti kwenye ubovu,tutaisaidiaje sasa?Tanzania itakuwa hovyo zaidi chini ya hii Chadema ya Mbowe/Slaa/Lema/Sugu/Msigwa kuliko ilivyo chini ya CCM ya Kikwete/Sitta/Membe/Mwakyembe/Magufuli.
 
Sasa wewe ni mtabiri au mpiga ramli. Ambacho kingeifanya CDM kujijenga ni kanuni iliyokanzisha, ni hitikdi yake na mikakati yake au personalities? Uchambuzi wakati mwngine fanyeni bila kuwa biased, prejudiced and antagonized maana hata kama ulikuwa na hoja unaifisha kabisa. Inawaunga mkono watu wanaofanya mambo chini ya busati? Hawa hawafai toka zama za Yesu. Wanajianya kupita under the carpet eti ndio demokrasia na mageuzi. Halafu mnataka umma uwaamini? Kama walichotaka kukifanya kilikuwa kwa maslahi ya demokrasia na manufaa mapana ya Taifa wangepitia niiaza uwazi kwa kufata katiba na kanuni za chama. Wangekataliwa wangeenda kwa msajili wa vyama au mahakamani kutauta haki
 
Duh...kumbe na wewe unajua Mbowe/Slaa/Lema/Sugu/Msigwa ni viongozi wa hovyohovyo?atleast akili yako imeongea kile ambacho moyo wako unajitahidkutokiona.

Kama Mh Sitta alivyowahi kusema,Chadema ina wigo mwembamba sana wa viongozi,hakuna namna utataja majembe ya Chadema bila kuwataja Mbowe/Slaa/Sugu/Msigwa na Lema,ndiyo viongozi wenyewe hawa...usiwanyanyapae..

..Na bahati mbaya majembe haya ndio yanalingana sifa na hao vidampa wa CCM uliowataja,so unaweza kuona tofauti iliyopo kati ya ubora wa CCM na ule wa Chadema ukizingatia uwezo wa majembe yake.

Umeanza kunibandikia maneno yako yawe yangu!CCM ndiyo ina viongozi wa hovyohovyo na sio CHADEMA!!

Dr Slaa HAWEZI kuwa kiongozi wa hovyo kwa mwana siasa yyt active aliyepo CCM leo!Tuanze kutaja hapa sifa za Dr Slaa kulinganisha na kiongozi yyt yule aliyepo CCM!Nasubiri unitajie kiongozi yyt yule mwadilifu ndani ya hii CCM ya JK kumzidi Dr Slaa!

Kinacho onekana ni kutishika na akina Dr Mwakyembe wanapoita media kutuzuga watz kama wanafanya kazi!Kinachokutisha nni Magufuli na kilometer zake za uongo za barabara na mtu asiye na exposure atajua TZ ina barabara nzuri kweli kweli miaka 52 baada ya Uhuru!Hao unao waona wewe masiah ni viongozi hovyo hovyo kabisa na wlaistahili sasa wawe jela Ukonga kwa matumizi mabaya ya pesa zetu!

Nasubiri uchambuzi zaidi na nitashinda kwa hoja na ww utashinda kwa vioja!
 
uzinzi wake umeujuaje?au alishavuruga familia yenu wote,by the way wewe unae waita wenzako nasty names u msafi?

Huwezi kuzaa na mwanamke ambae hujamuoa bila kuzini nae, taratibu za kanisa za ndoa ziko wazi.
 
Umeanza kunibandikia maneno yako yawe yangu!CCM ndiyo ina viongozi wa hovyohovyo na sio CHADEMA!!

Dr Slaa HAWEZI kuwa kiongozi wa hovyo kwa mwana siasa yyt active aliyepo CCM leo!Tuanze kutaja hapa sifa za Dr Slaa kulinganisha na kiongozi yyt yule aliyepo CCM!Nasubiri unitajie kiongozi yyt yule mwadilifu ndani ya hii CCM ya JK kumzidi Dr Slaa!

Kinacho onekana ni kutishika na akina Dr Mwakyembe wanapoita media kutuzuga watz kama wanafanya kazi!Kinachokutisha nni Magufuli na kilometer zake za uongo za barabara na mtu asiye na exposure atajua TZ ina barabara nzuri kweli kweli miaka 52 baada ya Uhuru!Hao unao waona wewe masiah ni viongozi hovyo hovyo kabisa na wlaistahili sasa wawe jela Ukonga kwa matumizi mabaya ya pesa zetu!

Nasubiri uchambuzi zaidi na nitashinda kwa hoja na ww utashinda kwa vioja!

Tuanzie hapa,ni nini uadilifu wa Dr Slaa?kumbuka..uadilifu haupimwi kwa maneno.
 
Tuanzie hapa,ni nini uadilifu wa Dr Slaa?kumbuka..uadilifu haupimwi kwa maneno.

Lkn si wewe ndiye uliwaita viongozi wa CCM ni majembe?Sasa unanigeukia mm tena?

Labda wewe ndiyo uanze mkuu;nn sio uadilifu wa Dr Slaa na ikiwezekana relate ukosefu huo wa uadilifu wa Dr Slaa na matatizo haya makubwa ya uchumi yanatotukabili!

Nasubiri mjadala endelevu

NB:Je unajua kuna watumishi wa UMMA hadi leo hawajalipwa mshahara kwa sababu HAZINA hamna pesa?
 
Mkuu Dr. Kitila, achana na mabishano hasa baada ya kumalizana na cdm, unajua sisi tuliokuwa naawe Southampton tunakushangaa sana jinsi unavyojiingiza katika mambo ambayo yanakushusha hadhi yako kama mwana taaluma, jamaa huku St. MARY'S wanakusikitikia sana kufikia hapo, achana na mambo haya , umeshamalizana na CDM, songa mbele na taaliuma yako. Ni usahuri, mabishano ya aaina hii achana nayo, jiepushe na mashabiki hasa baada ya kumaliza hili.
 
Dr Slaa anakiwanda cha uongo

Ni aibu kwa mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Mungu kusema uongo kwa taifa zima tena akizungukwa na wapika uongo wenzake

Mnyika anajidhalilisha kukaa na lile genge la wahuni wapika uongo

Mbowe na Dr Slaa mtuachie chama chetu na mumchukue na lema mwende nae

una uhakika na hiyo taarifa
 
Uongo wa Dr Slaa ndiyo unesababisha UMEME upande kwa 78%?

Tuvulana tujinga tunapiga kimaisha lkn bado tu wapo kuisifia CCM!Matatizo haya tuliyo nayo ya watoto wetu kusomea madarasa ya nyasi hajaletwa na Mungu!

ebu waulize hao mamburura..
 
Lkn si wewe ndiye uliwaita viongozi wa CCM ni majembe?Sasa unanigeukia mm tena?

Labda wewe ndiyo uanze mkuu;nn sio uadilifu wa Dr Slaa na ikiwezekana relate ukosefu huo wa uadilifu wa Dr Slaa na matatizo haya makubwa ya uchumi yanatotukabili!

Nasubiri mjadala endelevu

NB:Je unajua kuna watumishi wa UMMA hadi leo hawajalipwa mshahara kwa sababu HAZINA hamna pesa?

Nimesema hivyo baada ya kuona ukidai kuwa Dr Slaa ni muadilifu kuliko yeyote,ndio maana nilipenda nijue hiyo definition yako ya uadilifu..

Hayo ya watumishi wa umma na matatizo ya nchi,kama nilivyosema sikubaliana na nchi inavyokwenda kwa sasa lakini tofauti na wewe ninatambua pia ukweli mchungu kuwa uongozi wa Chadema uliopo sasa,zingatia jinsi wanavyoiendesha Chadema,ni wa hovyo zaidi kuliko uongozi wa serikali iliyopo. So ukiniuliza mimi,nadhani chini ya uongozi huu wa Chadema basi hali ingekuwa hovyo zaidi kuliko ilivyo sasa.
 
Ukubwa wa ukosefu wa MAADILI unapimwa kutokana na athari kwa jamii uliyoizunguka;Kwa mfano:

1.Magufuli alitumia madaraka yake vibaya kuuza nyumba za serikali na ingine kumpa hawala yake asiye mfanyakazi wa serikali hivyo kuisababishia serikali hasara ya mabilion kwa mwaka kwa kuwaweka Mawaziri na watendaji wengine mahotelini(Naibu Waziri Charlez Tibeza yy anakaa hotelini na kulipiwa Milion 100 kwa mwezi na serikali)

2.Dr Mwakyembe alitumia madaraka yake vibaya kw akuipa CCM mradi wa bandari ya nchi kavu Kurasini bila kutangaza tenda hiyo kwenye gazeti la serikali ili ishindaniwe;kibaya zaidi hakuliambia Bunge kuliambia kama mtaji wa bandari hiyo atautoa wapi!

3.Kinana mtendaji mkuu wa CCM amewahi kukiri hadharani kuwa meli iliyokamatwa East Asia na pembe za ndovu ni yake lkn mmliki wa pembe hizo hajulikani na hajawahi mtaja hadi leo!Je kama owner wanapo kodi meli zako hamna Bill of lading kujua nani aliichukua siku fulani?

4.Kwenye uzinzi wala huko tusifike maana mmh!Na kwangu uzinzi SIO NDIYO ULITUFIKISHA HAPA bali ni ubinafsi wa CCM

Tuendelee kufundishana!
 
Back
Top Bottom