walter godfrey
Member
- Dec 1, 2013
- 27
- 1
sitoki chadema ngo sasa umengolewa nenda mahakamani kama ulivyowatuma madiwani wako wa arusha
Mhadhiri wa Chuo kikuu na Mjumbe wa Kamati Kuu leo amekuwa sisimizi?
Gongo mbaya sana ndo nimeanza kuelewa.
Haya wewe Tembo unanafasi gani chadema na Tanzania?
Ha ha haaaa, hizi spinning ni noma, kama ni kweli CDM ni genge la wahuni sasa!
Ha ha haaaa, hizi spinning ni noma, kama ni kweli CDM ni genge la wahuni sasa!
kwani alihojiwa na Dr. Slaa au kamati?
Dr. Slaa ni msemaji tu, halafu aliyekiripotiwa zitto kukiri kuufahamu ule waraka ni Samson Mwigamba, siyo Dr. Kitila Mkumbo.
It seems amechanganyikiwa sana.
Kisaikolojia anateseka sana.
dr slaa alianza uongo tangu akiwa kanisani hivyo siyo ajabu kusikia akiongopa maneno kama hayo.
Una uhakika kuwa Dr. Kitila alisema ukweli?
umevuta bangi nini mbona macho yamekutoka hivi ?kitilya ni sisimizi tu...hakuna muadhiri wa chuo msaliti amejidharaulisha sana....
Joyce Kiria kisha maliza discussion, wasaliti wakubwa ni Mbowe na Slaaa waliotelekeza familia zao na kwamba hicho ni kipimo cha namna ambavyo hawatajali shida na matatizo ya watanzania
Mbona wanachama hai wamezungumza ukweli,mnawaambia wamfuate ZitoTunaomba namba ta kadi yako na tawi lako na jina la mwenyekiti wa tawi lako ndiyo tuthibitishe kuwa wewe kweli ni mwanachadema, vinginevyo wewe ndiyo tuachie chama chetu.
Ningelikuwa ni Zitto, Kitila au Mwigamba muda kama huu ningelikaa kimya tu.
Unamtuhumu kuwa Slaa ni muongo wakati maamuzi yalifanywa na jopo la watu kadhaa na kusomwa na Slaa.
Ina maama maamuzi yale yangelisomwa na Mbowe kama utaratibu unavyohitaji, si ajabu leo hii Kitila angesema Mbowe ni muongo.