Dr Kikwete vs Dr Slaa

Dr Kikwete vs Dr Slaa

kuna bingwa wa kukimbia kama slaa kumkuka tbc alivyo mkimbia nape.hahaha

aliye kimbia ni mzee wa ndovu larger akamtuma vuvuzela ambaye ni kifaranga mbele ya daktar wa ukweli
 
kuna bingwa wa kukimbia kama slaa kumkuka tbc alivyo mkimbia nape.hahaha
Eti nini? Dr. Slaa amkimbie Neppi? Acha maskhara!
Nape si saizi ya Dr. Slaa na hata anayewalinganisha lazima atakuwa na kasoro kichwani!
Nape ni zumbukuku ambaye hana ubavu wa kupambana kwa mdahalo hata na Mnyika; sembuse Dr. Slaa? Nape hana sifa hata za kugombea udiwani zaidi ya kujipendekeza ili aambulie vyeo vya kuhongwa kama anavyopavipata huko CCM.
Huku ni pia kumdhalilisha Mwenyekiti wetu, Nape aweze Kikwete alikoingia mitini?
 
Back
Top Bottom