Tutamkumbuka kwa roho mbaya yake, sijuhi lipoje lile DUBWANA, sasa linaondoka na mvua ili nasie tufe kama yeye. Tutalikumbuka DAIMAHahahaaaa........ Mtanikumbuka!
Huu sasa ni mtiani kwa sisi wakulima, tulime nini na kwa wakati gani hasa. Mbona miasha yanakuwa machunguu ? Kusema kilimo cha umwagiliaji bado ni ndoto kabisaaa.Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya hali ya hewa Dr Kijazi amesema kutakuwepo na upungufu mkubwa wa mvua za mwisho wa mwaka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi hivyo Wakulima wanapaswa kuchukua tahadhari.
Source: ITV habari
Roho mbaya sana jamaa, kwa hiyo tukifa njaa litafurahi lenyewe huko JEHANAMU.Mwendazake kaondoka na baraka za mvua.
Zee la roho mbaya linatana tufe njaa ili lifurahi.πππππMwenye mvua aliondoka nayo duh!
Hapa ndipo kilimo biashara kinapokuwa kigumu kwa kutegemea mvua, nilikuwa na mpango wa kulipa heka 20 za mpunga msimu huu sasa laah...kwa statement hii naweza ambulia gunia 3.1. Tuepuke kuingia gharama ya kuandaa mashamba ili hali mvua itakuwa ya mashaka.
2. Pia iwapo mvua zitanyesha chache basi tupande mbegu za muda mfupi.
3. Kuweka akiba ya chakula kilichopo tusikimalize ktk kucheza wali ngoma na harusi.
Lilikua zaidi ya Gaidi, Mwendawazimu piaGaidi anatubania
Hivi kumbe hawa Vijazi wote walijichimbia kwenye Top rank serikalini? Kweli kuna matumbo yamezaa.Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya hali ya hewa Dr Kijazi amesema kutakuwepo na upungufu mkubwa wa mvua za mwisho wa mwaka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi hivyo Wakulima wanapaswa kuchukua tahadhari.
Source: ITV habari
cc waziri wa kilimo. cc mkuu kitengo hifadhi ya chakula.Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya hali ya hewa Dr Kijazi amesema kutakuwepo na upungufu mkubwa wa mvua za mwisho wa mwaka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi hivyo Wakulima wanapaswa kuchukua tahadhari.
Source: ITV habari
Tahadhali ni pamoja na kuzuia misururu ya semi trailer za mahindi na mpunga kuvuka nchi.Tuchukue tahadhari gani sasa? Maana tumezoea kuchukua tahadhari kama mvua zitakuwa kubwa. Mafuriko nk.
π π π π π₯ ... Mvua za Bongo, au Dunia nzima?, huwa zina mzunguuko wa decade moja! ... mwanzomwanzo na mwisho mwa decade huwa kuna mvua nyingi na katikati ya decade huwa kuna ukame!Kumbee!!! Wanadamu wasahaulifu sana aliyeapiza hatotoa chakula cha msaada kwenye ukame ule alikuwa nani??