Dr. Kigwangalla: Serikali kuanza kutoa Leseni za bucha za nyama ya wanyamapori hivi karibuni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,012
142,046
Waziri wa Maliasili na utalii Dr Kigwangalla amesema Serikali imebadili sheria ya wanyamapori na sasa wananchi wataruhusiwa kufungua bucha za nyama za porini.

Kigwangalla amesema Serikali itatoa leseni za mashamba ya wanyamapori ( ranchi) na wamiliki wa mashamba hayo wataruhusiwa kukata leseni za Bucha ya kuuza nyamapori.

Source Star tv!
 


Tuwe waangalifu sana, mambo ya corona na ebola virus huanzia kwa wanyama pori.
 
This is long overdue
 
Kwa jinsi ambavyo Kayafa na wasaidizi wake wanalipigia debe hili suala la kufuga wanyamapori na kuanzisha bucha zao...
Yaani naomba nitabiri kuwa naona dalili za Kayafa kujimilikisha wanyamapori ndani ya hifadhi mojawapo iliyoanzishwa hivi jaribuni!
Either atajimilikisha yeye peke yake au kwa ushirika na washirika wake wa nje na ndani ya nchi, hilo ni suala la kusubiri na kuona...!!
 
Kama bei itakuwa kubwa watakula wenyewe.Watu hula nyama pori iliowindwa kiharamu kwa sababu bei huwa chini sana kulik bei za nyama ya ng'mbe,mbuzi nk sio kwa sababu wanaipenda sana nyama pori.
 
Mambo mazito lazima nyumbu nao wachangie ujenzi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo jema Mh waziri vyema tuambiwe bei ya kitaru tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…