Dr. Kigwangala: another Lucas Selelii

kwa mbunge huyu bila kujali itikadi ya chama chake,nimewahi kumsikia akitetea maandamano ya CHADEMA, nimewahi kwa muda tofauti akiwawatetea watu wa Nzega,mi nadhani tunakuabli kuwa sera CCM ni mbaya na ni chama kibaya lakini ni kosa kumhukumu Mbunge anayefanya kazi sawa na zile za wapinzani au anaowaafiki wapinzani katika kussimamia na kuwatetea Wananchi,Ni mtazamo wangu Mbunge huyu anafaa kigwa na Wabunge wengine WACCM
 
Back
Top Bottom