Dr. Katalyeba P.O azikwa jana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Katalyeba P.O azikwa jana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PhD, Jul 13, 2010.

 1. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,812
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  aliyekuwa mhadhiri wa muda mrefu katika kitivo cha utawala na uongozi cha chuo kikuuu Mzumbe Morogoro, Dr. Katalyeba alizikwa jana. naamini wengi mliowahi kusoma pale mtamkumbuka mzee huyu.
  mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, amen
  :embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1:
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Pole kwa wafiwa na Mzumbe university kwa jumla. Namkumbuka sana huyu mzee na alisaidia wengi mno.
   
 3. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,279
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ahsante sana Mkuu,

  Namfahamu sana huyu mzee na inasikitisha kuwa ametutoka. RIP na Mungu awape faraja wafiwa wote.
   
Loading...