Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Tufuatilie mwenendo wa kura za CCM Igunga tangu 2005 hadi Kafumu:

Mwaka 2005

WILAYA YA IGUNGA
IGUNGA
PhotoCandidatePartySexValid Votes%
View PhotoABDULRASUL AZIZ ROSTAMCCMM76,19583
No PhotoIDD BARUNGUZA SHAFICUFM13,20414.4
No PhotoABRAHAM MPUMBI SENYAUDPM1,2121.3
No PhotoNGANGA KAHEMA NG' WANANG' WALUCHAUSTAM1,1671.3
No PhotoALFAYO MELLIY ROZZIFORDF0
No PhotoJULIUS PETER KIULADPM0
No PhotoALFAYO MELLIY ROZZIFORDF0
No PhotoSAIDI SHABANI KIMBURUJahazi AsiliaM0

No PhotoKAMBONA KALOMBOLA NASSOROUPDPM0
No PhotoKAMBONA KALOMBOLA NASSOROUPDPM0
No PhotoSOSPETER KABUNGULU LWITAKUBINRAM0

Valid Votes 91,778
Spoilt Votes 4,016
Registered Voters 138,368
Mwaka 2010

WILAYA YA IGUNGA
IGUNGA
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
ROSTAM AZIZI ABDULRASOOL
CCM
35,67472.78
LEOPOLD LUCAS MAHONA
CUF
11,32123.1
SPOILT VOTES2,0184.12
TOTALS49,013100

Na hapa baada ya kuchakachua

Oct 2, 2011 Parliamentary By-Election Results - As receveid by NEC
TABORA
WILAYA YA IGUNGA
IGUNGA
CandidatePartySexValid Votes%
Dr. Kafumu P.DalalyCCMME2648450
Kashindye J.MwanduCHADEMAME2326044
Mahona L.LucasCUFME21044
Steven M.MahuviAFPME2350
Hassan R.RutegemaCHAUSTAME1820
John M.MagumaSAUME830
Saidi M.CheniDPME760
Hemedi R.DeduUPDPME630
Spoilt Votes:0
Who Voted:52487

Asilimia ya kura za CCM imeshuka toka 83% 2005, 72.78% mwaka 2010, na 50% ya huu uliofutwa na mahakama (baada ya foul play)

Tabiri matokeo ya marudio ya uchaguzi huu!
 
Kiswahili ni lugha yako ya Taifa lakini nna uhakika si lugha mama kwako.
Hakika hujakosea jamaa yangu, hata hivyo nitafurahi sana kama ujumbe huu umekufikia na utamfikishia jamaa yako Mwigulu Mchemba kwamba ubaya daima huwa haulipi!
 
Hakuna ubaya uliofanywa wala hiyo kesi haihusiani na ubaya wowote, hiyo ni kesi ya kisiasa na ujuwe kwenye siasa za vyama vingi chama pinzani kinafanya kila hila chafu ili kukipakaza matope chama kilicho madarakani. Mfano mnaweza mkateka Ulimboka mkambonda mui frame serikali iliyopo madarakani, mnaweza uwe Igunga watu wenu lakini kwa uchu wenu wa madaraka mna frame watu wa ccm.

Mfano mzuri sana ni pale katibu wenu aliposema makontena ya silaha yameshikwa, akaja tena na firimbi za kuwa anataka kuuliwa, sasa anakuja na porojo za bastola, sijui kesho mtamtuma azuwe jingine lipi, mara oohhh "nimewekewa" vinasa sauti wakati kaviweka mwenyewe. Anawapata sana misukule kwa vunga zake.

Nilijuwa kuwa Kiswahili si lugha mama kwako uliposhindwa kuielewa tashtiti ya kutokutendwa haki na mahakama Igunga, lakini haki ilitendeka Arusha, si ndio?
 
Mkuu bdo sidhani kama ni busara kucopy majina yote.Tafadhali ifute post #690 kupunguza usumbufu kwa wasomaji.

Sawa ila mbali na usumbufu wangu, inawezekana umejifunza kitu na hio orodha
 
Last edited by a moderator:
Hakuna ubaya uliofanywa wala hiyo kesi haihusiani na ubaya wowote, hiyo ni kesi ya kisiasa na ujuwe kwenye siasa za vyama vingi chama pinzani kinafanya kila hila chafu ili kukipakaza matope chama kilicho madarakani. Mfano mnaweza mkateka Ulimboka mkambonda mui frame serikali iliyopo madarakani, mnaweza uwe Igunga watu wenu lakini kwa uchu wenu wa madaraka mna frame watu wa ccm.

Mfano mzuri sana ni pale katibu wenu aliposema makontena ya silaha yameshikwa, akaja tena na firimbi za kuwa anataka kuuliwa, sasa anakuja na porojo za bastola, sijui kesho mtamtuma azuwe jingine lipi, mara oohhh "nimewekewa" vinasa sauti wakati kaviweka mwenyewe. Anawapata sana misukule kwa vunga zake.

Nilijuwa kuwa Kiswahili si lugha mama kwako uliposhindwa kuielewa tashtiti ya kutokutendwa haki na mahakama Igunga, lakini haki ilitendeka Arusha, si ndio?

Ni sawa kabisa na kusema kuwa "vyama vya upinzani vitaleta mapigano hapa nchi....acheni kuvichagua"
 
Tufuatilie mwenendo wa kura za CCM Igunga tangu 2005 hadi Kafumu:

Mwaka 2005

WILAYA YA IGUNGA
IGUNGA
PhotoCandidatePartySexValid Votes%
View PhotoABDULRASUL AZIZ ROSTAMCCMM76,19583
No PhotoIDD BARUNGUZA SHAFICUFM13,20414.4
No PhotoABRAHAM MPUMBI SENYAUDPM1,2121.3
No PhotoNGANGA KAHEMA NG' WANANG' WALUCHAUSTAM1,1671.3
No PhotoALFAYO MELLIY ROZZIFORDF0
No PhotoJULIUS PETER KIULADPM0
No PhotoALFAYO MELLIY ROZZIFORDF0
No PhotoSAIDI SHABANI KIMBURUJahazi AsiliaM0
No PhotoSAIDI SHABANI KIMBURUJahazi AsiliaM0
No PhotoJULIUS PETER KIULADPM0
No PhotoKAMBONA KALOMBOLA NASSOROUPDPM0
No PhotoKAMBONA KALOMBOLA NASSOROUPDPM0
No PhotoSOSPETER KABUNGULU LWITAKUBINRAM0
No PhotoSOSPETER KABUNGULU LWITAKUBINRAM0
Valid Votes 91,778
Spoilt Votes 4,016
Registered Voters 138,368
Mwaka 2010

WILAYA YA IGUNGA
IGUNGA
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
ROSTAM AZIZI ABDULRASOOL
CCM
35,67472.78
LEOPOLD LUCAS MAHONA
CUF
11,32123.1
SPOILT VOTES2,0184.12
TOTALS49,013100

Na hapa baada ya kuchakachua

Oct 2, 2011 Parliamentary By-Election Results - As receveid by NEC
TABORA
WILAYA YA IGUNGA
IGUNGA
CandidatePartySexValid Votes%
Dr. Kafumu P.DalalyCCMME2648450
Kashindye J.MwanduCHADEMAME2326044
Mahona L.LucasCUFME21044
Steven M.MahuviAFPME2350
Hassan R.RutegemaCHAUSTAME1820
John M.MagumaSAUME830
Saidi M.CheniDPME760
Hemedi R.DeduUPDPME630
Spoilt Votes:0
Who Voted:52487

Asilimia ya kura za CCM imeshuka toka 83% 2005, 72.78% mwaka 2010, na 50% ya huu uliofutwa na mahakama (baada ya foul play)

Tabiri matokeo ya marudio ya uchaguzi huu!

Na wakikata rufaa, basi asilimia zitashuka hadi -83%, bora wangekubali uchaguzi mdogo wangeweza pata hata si zaidi ya 33.44, pole sana chama tawala, safari ya kuwa chama kikuu cha upinzani ishafika 90%
 
Hakuna ubaya uliofanywa wala hiyo kesi haihusiani na ubaya wowote, hiyo ni kesi ya kisiasa na ujuwe kwenye siasa za vyama vingi chama pinzani kinafanya kila hila chafu ili kukipakaza matope chama kilicho madarakani. Mfano mnaweza mkateka Ulimboka mkambonda mui frame serikali iliyopo madarakani, mnaweza uwe Igunga watu wenu lakini kwa uchu wenu wa madaraka mna frame watu wa ccm.

Mfano mzuri sana ni pale katibu wenu aliposema makontena ya silaha yameshikwa, akaja tena na firimbi za kuwa anataka kuuliwa, sasa anakuja na porojo za bastola, sijui kesho mtamtuma azuwe jingine lipi, mara oohhh "nimewekewa" vinasa sauti wakati kaviweka mwenyewe. Anawapata sana misukule kwa vunga zake.

Nilijuwa kuwa Kiswahili si lugha mama kwako uliposhindwa kuielewa tashtiti ya kutokutendwa haki na mahakama Igunga, lakini haki ilitendeka Arusha, si ndio?

[/QUOTE]Hizi ni nyimbo tamu za makuadi wa mafisadi wanapo waimbia mabwana zao! Inakuwa aibu kubwa sana kwa kuadi wa umri wako ambaye unajinasibu kuona vipindi vyote vya utawala kuanzia malkia wa kiingreza mpaka huyu msanii wa kiislamu kushindwa kuona kuwa nchi inaenda halijojo kutokana na
utawala wa kifisadi!
 
Back
Top Bottom