tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,441
tumeshaambiwa na pinda kuwa hao watumishi wa umma wanatekeleza sera za ccm, ikiwa ni kuhakikiisha pia kuwa ccm inaendelea kutawala! Tegemea danadana tu hapo
Kwa kweli inaleta shaka sana, sijui itakuwaje
Lakini kama Jaji atakuwa sio wa vodafasta na yeye anaona Vodafasta jaji wanaharibu taaluma sijui itakuwaje pia atamrizisha dhaifu ama atafamfanya dhaifu zaidi??
uzoefu (wa siku za kusoma hukumu wa kesi za kupinga matokeo ya ubunge) unaonyesha kwamba kama FFU wapo full kwa shari (magari ya maji ya kuwasha, askari makumi kadhaa, mbwa, mabomu ya machozi, risasi za mpira na moto) basi ujue ushindi upo kwa CCM.
Siku ya kusikiliza si ya kutoa uamuzi. hawezi kuvuliwa siku ya kusikilizwa kesi.
JK kasema "Serikali haina pesa" Pinda kasema "liwalo na liwe" Lisu kasema "baadhi ya majaji hawana sifa" na Mnyika kasema "serikali Dhaifu"
Hapa utaona ni vita kati ya mshika mpini na mshika makali, wana JF nani ataumia mchezo ambao hauna mwamuzi?
Mimi naomba ccm ishindwe angalau migogoro inayopandikizwa ya waislam kupitia bakwata ipungue. Maana ccm kila kukucha wanabuni mbinu za waislam kukosana ili ccm iendelee kutetea pesa wanazotoa kwa madhehebu ya wakiristo (mou)
uzoefu (wa siku za kusoma hukumu wa kesi za kupinga matokeo ya ubunge) unaonyesha kwamba kama FFU wapo full kwa shari (magari ya maji ya kuwasha, askari makumi kadhaa, mbwa, mabomu ya machozi, risasi za mpira na moto) basi ujue ushindi upo kwa CCM.
uzoefu (wa siku za kusoma hukumu wa kesi za kupinga matokeo ya ubunge) unaonyesha kwamba kama FFU wapo full kwa shari (magari ya maji ya kuwasha, askari makumi kadhaa, mbwa, mabomu ya machozi, risasi za mpira na moto) basi ujue ushindi upo kwa CCM.
Chaguzi ndogo ni mzigo kwa TAIFA hili masikini. Laiti kama ushindi kwa CHADEMA ungemaanisha kupewa ubunge huu. Vinginevyo Kafumu aendelee tu ili kuepuka gharama hizi za kisiasa.