Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

Haya sio majibu. weka link hapa.

"kumbi na kumbinga"
ukiuliza maana yake hujui, ukijibiwa hata kama ni tofauti na matakwa yako chukua hilo ndo jibu, otherwise ulikuwa unawaghilibu watu, humpati wa kumsakizia ban.

KAFUMU KUFUMULIWA!
 
leteni updates basi ina maana kesi haijaanza mpka sasa??

mkuu OSOKONI, umeambiwa kuna warugaruga wako full armed, mavikojozi, mavikohozi, na zile za migodini "sauzi"
Lazima utulivu uwepo, sometimes hata kugonga keyboard ni kelele, inaweza tumika ya kugongea tembo kukunyamazisha, kwi kwi kwi! Utanyamaza jumla.

Vuta subra,

Kafumu kufumuliwa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mbona imekuwa ikisilizizwa siku nyingi sana ndugu, mara ya mwisho magufu alitwa kutoa ushahidi akasema ana ID ya mwezi mzima kwa hiyo akutokea mahakamani, jaji akasema sawa, tatasoma huku 20/08/2012
hivi kuitwa mahakamani ni hiari au ni lazima kisheria? kwa nini magufuli hakwenda na kwa nn hakukamatwa kwa kudharau mahakama au kwa kuwa waziri yupo juu ya sheria??
 
hivi kuitwa mahakamani ni hiari au ni lazima kisheria? kwa nini magufuli hakwenda na kwa nn hakukamatwa kwa kudharau mahakama au kwa kuwa waziri yupo juu ya sheria??

Shahidi huwa hashurutishwi, hakuna kipengele elekezi kanakwamba akamatwe pindi akigoma kufika mahakamani kutoa ushahidi.
That means, si dharau kukataa kushuhudia tukio mbele ya hakimu na mahakama kwa ujumla, bila kujali shahidi ni waziri ama rais mstaafu.
 
Naamini Hukumu itakuwa ya haki kwa kubainisha vifungu vya sheria na makosa, utetezi ulio wazi ndiyo utatoa ushindi
 
CCM-Mahakama na CCM-Jajis zimenifanya niwe na ganza swala linapokuwa mahakamani
 
HUKUMU ya IGUNGA
Leo..Kashinje Vs Kafumu,


....Kwakweli mpaka sasa hivi Mbunge wa CCM ameshindwa kumleta shahidi
ambaye angetoa taswira njema kwa Ushindi wa Kafumu.
Kwani Bwana Magufuli, ambaye yeye ametajwa kwenye Kesi mara kadhaa;
kwamba alikuwa akitoa Ahadi ambazo alikuwa akitoa
mbele ya Jukwaa..kwa hali hiyo Mgombea Wa Chadema anasema alikuwa anatoa
Kama Nani? Waziri au mpiga Debe wa CCM?

Kwakweli Kesi imekaa patamu sana...kama Haki ikitendeka ...Basi Jimbo
tutalajie kuwa Wazi katika Hukumu ya Leo..!!!



UPDATES
Magari ya polisi, gari la maji washa, naona ndo yanawasili hapa
mahakamani, ila bado hatujaingia ndani ya ukumbi wa mahakama, pia watu
bado si wengi sana.

acha uongo wewe gari la maji ya kuwasha lipo wapi?
 
hukumu imeanza kusomwa?? mliopo huko lengeni kwenye maada acheni porojo zingine??
 
nipo mahakamani hapa nzega suala linaloweza kumpa ushindi ni magufuli kutoa ahadi ya kujenga daraja la mbutu!
 
Back
Top Bottom