"Mahakama haijatenda haki"
Wawawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..........h
Ninafurahaaaaaaaaaaa
Pipoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kweli kabisa.......hebu toa ushauri Kafumu achukue hatua gani manake nasikia ana hali mbaya huko aliko!
Ile report ya Tundu Lisu haya ndio matunda yake, Majaji wote wenye viwango vya ujaji wanataka kulinda heshima zao.M4C inaelekea imekubalika hata kwa majaji safi sana
mbona kwenye taarifa ya habari ya saa 7 mchana TBC 1 hawajatanganza? au ndio radio zilizochoka zinatoa ya ccm tu?
wamwache tu amalizie uozo wake alioanzisha
Kweli kabisa.......hebu toa ushauri Kafumu achukue hatua gani manake nasikia ana hali mbaya huko aliko!