Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Mungu hata walaani watu kwasababu ya maombi yako yalio jaa chuki kubwa kubwa. Hivi mnafikiri Mungu yeye yupo bize na Fisadi wenu Lowassa? Subiri atakapo chinjwa Jumapili ndio mtafahamu kuwa, MAPENZI YA MUNGU YAPO KWA MAGUFULI.
 

Kwa nini mnampa sifa asizostahili huyu tapeli wa kinaigeria? Hata Magufulu akipata huo urais haina uhusiana wowote na hicho uhachoita utabiri hata kama ingekuwa ni kweli kasema hayo. Kwa sababu sasa naona kama njia ya kumkampenia mtu wanaomtaka watu wanaingiza masuala ya utabiri feki kama wa huyu Joshua.
 
Mungu hata walaani watu kwasababu ya maombi yako yalio jaa chuki kubwa kubwa. Hivi mnafikiri Mungu yeye yupo bize na Fisadi wenu Lowassa? Subiri atakapo chinjwa Jumapili ndio mtafahamu kuwa, MAPENZI YA MUNGU YAPO KWA MAGUFULI.

Ndugu yangu Mkamba Mmasai, hii ni JF bwana, ukishupatilia kila kitu kwa nguvu zako zote utajiumiza mwenyewe. Huyo Magufuli wewe hakujui wala mimi hanijui. Huyo Lowassa wewe hakujui wala mimi hanijui. Kuna maisha baada ya uchaguzi, hata hivyo kwa kuwa umenichokoza, nakuombea: Baba Muumba, hiyo laana mteremushie na huyu Mkamba Mmasai
 
unadai hana ukabila wakati ana element za usukuma kila anapoenda, hatumtakiiiii, ata akiwa raisi kamwe siwez kumwita rais wangu
 

Kama ni kweli katabili , mpelekee ujumbe huu utamfaa zaidi, ajue kwamba sisi kama wakristo hatusikii maneno ya nabii yeyote tuka amini ispokuwa lazima tupime unabii huo na Neno la Mungu. 1JOHN 4:1-3

'' My dear friends, do not believe all who claim to have the Spirit, but test them to find out if the spirit they have comes from God.For many false prophets have gone out everywhere. 2 This is how you will be able to know whether it is God's Spirit..........."

2.Injili aliyo ihubiri mtume Paulo, mpaka ilifikia hatua akawaambia wagalatia kwamba hata mkiambiwa na Malaika kutoka mbinguni, ujumbe wake ukiwa tofauti na neno la Mungu msikubali na huyo malaika na alaaniwe kwenda kuzimu. Paulo kwa uwezo wa Mungu, alijua kuwa Tanzania, mwaka 2015 watainuka manabii wengi kuupotosha uma.

GALATIANS 1:8 " But even if we or an angel from heaven should preach to you a gospel that is different from the one we preached to you, may be condemned to hell!"
 
Kwani hao wagombea.John Magufuli. Lowasa.wanatoa pumzi yakukuwezesha wewe uendelee kuishi.
 
Hizi no sifa za anaefaa kuwa Raisi wa awamu ya Yano:
1. Asiwe na historia ya ufisadi
2. Mwenye historia iliyotukuka kwenye uajibikaji alipokuwa mtumishi serikalini
3. Asiwe na chembe ya ubaguzi kwa watanzania. Kidini, kiukanda, ukabila
4. Anayemtanguliza Mingus
5. Mtu imara physically and mentally fit
6. Ability to express himself
7. Mwenye uwezo wa kusimamia utekelezaji wa maagizo yake
8. Asiye na dalili za uchu wa madaraka
9. Anayeumizwa kwa dhati na shida za watanzania
10. Anayechukizwa na ufisadi
11. Mchapa kazi na asiwe ameingia kwenye kinyanganyilo kwa kutest zali
 
Mkuu popote ulipo rudia tena kusoma uzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…