rofejo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 518
- 186
Hata mimi naona yupo sahihi kwani aliyetoka chama tawala ni LOWASAH YUPO SAHIHI TB JUSHUA. !
LOWA FOR 2015!!!
Mimi nilimaanisha huyo aliyeandika joshwa badala ya Joshua!!
Hata mimi naona yupo sahihi kwani aliyetoka chama tawala ni LOWASAH YUPO SAHIHI TB JUSHUA. !
LOWA FOR 2015!!!
Mungu hata walaani watu kwasababu ya maombi yako yalio jaa chuki kubwa kubwa. Hivi mnafikiri Mungu yeye yupo bize na Fisadi wenu Lowassa? Subiri atakapo chinjwa Jumapili ndio mtafahamu kuwa, MAPENZI YA MUNGU YAPO KWA MAGUFULI.Baba Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Isaka na Mungu wa Yakobo, watanzania kwa unyenyekevu mkubwa tunakuomba umwangushie angamizo zito huyu mwanamitandao Mwamba Usemao Kweli adahabu na laana kali itakayokuwa fundusho kwa wanafiki wote wanaowasingizia watumishi wa MUNGU T B Joshua kwamba ametoa kauri kuhusu uchaguzi wa Tanzania. Tunaomba haya yote kupitia jina lako tukufu lipitalo majina yote!! Amen
duh, joshwa au joshua!!!!!
Huu ni unabiii unaotimia: -
Akizungumza na wasaidizi wake jana jioni nyumbani kwake Lagos Nigeria, Nabii T. B. Joshwa anasema
"Naiona nchi ya africa mashariki ikipata rais mpya kutoka ndani yha chama kikongwe barani afrika mwaka huu 2015. Lakini atakuwa ni rais atakayekuja kupendwa na watu wa nchi yake, mwenye uwezo mkubwa wa kiutawala na atakaebadilisha maisha ya watu wake".
Kutoka kwa mtu wa karibu na SCON Lagos Nigeria.
My take : UKAWA tulieni mnyolewe.
Mungu hata walaani watu kwasababu ya maombi yako yalio jaa chuki kubwa kubwa. Hivi mnafikiri Mungu yeye yupo bize na Fisadi wenu Lowassa? Subiri atakapo chinjwa Jumapili ndio mtafahamu kuwa, MAPENZI YA MUNGU YAPO KWA MAGUFULI.
kwahyo magufuli ni fisadi ila lowasa sio fisadi..
Tuonane oct
Huu ni unabiii unaotimia: -
Akizungumza na wasaidizi wake jana jioni nyumbani kwake Lagos Nigeria, Nabii T. B. Joshwa anasema
"Naiona nchi ya africa mashariki ikipata rais mpya kutoka ndani yha chama kikongwe barani afrika mwaka huu 2015. Lakini atakuwa ni rais atakayekuja kupendwa na watu wa nchi yake, mwenye uwezo mkubwa wa kiutawala na atakaebadilisha maisha ya watu wake".
Kutoka kwa mtu wa karibu na SCON Lagos Nigeria.
My take : UKAWA tulieni mnyolewe.
Mkuu popote ulipo rudia tena kusoma uzi wakoIli kuleta maendeleo na amani lazima kuwepo na umoja,na ili kuleta maendeleo lazma awepo mtu mchapakazi,mwadilifu na asiyekuwa mwoga.
ili kuleta umoja na amani lazma awepo mtu asiyefungamana na upande wowote,mtu asiyekuwa na makundi nyuma yake...
Mtu asiyekuwa na roho ya kulipiza visasi na kupendelea kikundi fulani cha watu..
Mtu asiye na element yeyote ya ukabila...
Dr.magufuli hana kundi lolote nyuma,hatumii fedha katka kusaka uongozi kama jinsi wafanyavyo wengne..
Hana uchu wa madaraka,Ana political torelance,
Dr. Magufuli katka kila wizara aliyoiongoza performance yake imekuwa kubwa maradufu..
Kama jinsi waswahili wanavyosema"kila anayetenda mema hulipwa kwa wema"Mungu ameona utendaji na roho ya kujitolea ya Magufuli dhidi ya taifa hili..
Ameona anafaa kabsa kuwaletea Watanzania maendeleo kupitia uchapakazi wake,Mungu ameamua kumlipa kwa wema Dr.magufuli amempa nafasi muhimu na ya kipekee kabsa ya wakuwaongoza watanzania,no one knew that magufuli will become.
The president..its GOD..LET US ALL STAND TOGETHER AND SUPPORT THIS GOOD WISH FROM OUR ALMIGHTY ALLAH..!!REGARDLESS OF OUR IDEOLOGIES & PARTIES..
DR. MAGUFULI THE BEST CHOICE OF TANZANIANS.
Kumbe Ulikuwa mwezangu enzi hizo, safi sanaHapo unapoishi jaribu kufanya utafiti kwa watu wa kima cha chini alafu utapata majibu.
viva ukawa:
HelloTuonane october mkuu... Utarudi ugiriki aiseee teh,, ni kweli tanzania tunahitaji mabadiliko,, na kiongozi mpya mwenye msimamo na mchapakazi lakini sio pombe teh..
Upo mkuuunadai hana ukabila wakati ana element za usukuma kila anapoenda, hatumtakiiiii, ata akiwa raisi kamwe siwez kumwita rais wangu