Uzi wa kipuuzSalaam ndugu wana jukwaa.
siku ya jumapili tr 25.10.2015 ni siku ya kihistoria katika nchi yetu ambapo Nchi itaingia kwenye tukio kubwa na kipekee la kidemokrasia kuchagua utawala mpya utaounda serikali ya awamu ya tano.
NDUGU MTANZANIA. USIFANYE MAKOSA. TAFAKARI KWA MAKINI DAKIKA HIZI ZILIZOBAKI. NAOMBA KURA YAKO YA NDIO KWA JOHN JOSEPH MAGUFULI aka JEMBE aka TINGA TINGA. ILI AWEZE KULIONGOZA TAIFA LETU.
HAPA KAZI TUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!
kamuombe mama ako anakupenda sana mwanae lazima akupe, hawezi kukuangusha!!
Safi sana Mtumishi wa Mungu TB Joshua. Hakika amelenga penyewe kabisa.Huu ni unabiii unaotimia: -
Akizungumza na wasaidizi wake jana jioni nyumbani kwake Lagos Nigeria, Nabii T. B. Joshwa anasema
"Naiona nchi ya africa mashariki ikipata rais mpya kutoka ndani yha chama kikongwe barani afrika mwaka huu 2015. Lakini atakuwa ni rais atakayekuja kupendwa na watu wa nchi yake, mwenye uwezo mkubwa wa kiutawala na atakaebadilisha maisha ya watu wake".
Kutoka kwa mtu wa karibu na SCON Lagos Nigeria.
My take : UKAWA tulieni mnyolewe.