ENYATTA UNIVERSITY 25TH GRADUATION CEREMONY Kenyatta University will honor The President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Hon. Jakaya Mrisho Kikwete, Kenyas Vice-President and Minister for Home Affairs, His Excellency Hon. Kalonzo Musyoka and a leading Educationist, Dr. Eddah Gachukia during its 25th Graduation Ceremony this Friday, (December 19th, 2008).
The President of the United Republic of Tanzania will be honored with a Doctor of Humane Letters (honoris causa) in recognition of his great effort in leadership excellence, peace initiative and support for education.
The Vice- President of the Republic of Kenya and Minister for Home Affairs, Hon. Stephen Kalonzo Musyoka will also be honored with a Doctor of Humane Letters (honoris causa) in recognition of his achievements in peace making, conflict resolution efforts, community development and humanistic ideals.
Dr. Eddah Wacheke Gachukia, a renowned educationist in Kenya will be honored for her achievement in academics, contribution in various organizations and leadership excellence.
Honorary degrees are awarded to distinguished personalities for exemplary attributes and outstanding professional accomplishments. The recipients of the honorary degrees are awarded at regular graduation ceremonies and are invited to make a speech of acceptance before the assembled faculty and graduands.
The award of the honorary degrees to The President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Hon. Jakaya Kikwete, Kenyas Vice-President and Minister for Home Affairs, His Excellency Hon. Kalonzo Musyoka and a leading Educationist, Dr. Eddah Gachukia was approved by the Kenyatta University Senate and Council.
Kenyatta University senate and council will award Certificates, Diplomas, Undergraduate, post-graduate and Doctor of Philosophy (PhD) degrees to more than three thousand (3,000) graduands during the 25th graduation ceremony.
The President of the United Republic of Tanzania will be honored with a Doctor of Humane Letters (honoris causa) in recognition of his great effort in leadership excellence, peace initiative and support for education.[/QUOTE]Je whats his contribution mpaka apate u Dr? tumegee basi. Maana kila apewaye huwa kuna kitu kachangia. Au kurandaranda duniani?
Hongera kwa JK, I guess nchi za jirani zimeona michango yake au ndio janja ya Kenya ya kutaka kumhonga ili asaini EAF.Heshima Mbele,
Nipo Hapa Nairobi toka juzi kwa shughuli maalum ya kidunia,na nimebahatiaka kusoma katika magaeti ya hapa kukwa Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete atapewa shahada ya heshima(shahada ya udaktari wa sheria katika chuo kikuu cha kenyatta).
Mtu mwingine atakayepewa ni rafiki yangu wa siku nyingi Makamu wa Rais wa Kenya.
Hivyo kuanzia Leo,Mkulu,Muungwana atakuwa akiitwa
Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
Hongera Mkwere na na nakupongeza sana mhe. ais wa taaifa hili.Na nakushauri kw akupewa heshima hii basi wape watazania Maisha Bora ambayo uliwahaidi(Special request)!
Najua ulishaamua kuwakataa Mafisadi kwa staili flani ila nisaidie katika hili pia.Watu wanalia na wana nja kali sana na kama ikiwezekana fanyia kazi yale maneno ya Mchungaji na Mzee Mwanakijiji.
Kwa kupongeza zaidi naomba utuondolee Mataka pale ATCL na afunguliwe Mashataka kwa kuliingiza taifa katika mzigo mkuwba wa Madeni(ikumbukwe ndege za Airbus zimekodiwa ila hakuna pesa inayoingizwa hapa).
Mhe. Rais Zaidi ya yote nitashukuru sana kama utafanya watanzania watakavyo na kuachana kidogo na ibara ya 13 ya CCM kwa kipindi hiki.
Nakupongeza sana na kwa niaba ya wanajamii tunakutakia sikukuu Njema ya Krismai na Mwaka Mpya ila kama utafanya yale tutakayokuwa tukikuambia.
asante sana
ulitaka nikutaje wewe?Kila mtu anatajwa kutokana na mchango wake kati uwanja mpana anaouelewa.Wewe katika mambo ya ulinzi nakupa heko sababu umebobea ila huku lazima nimpongeze mwanakijiji sababu anafanya kazi nzuri sana ambayo wengi hawathubutu kuifanya.Hongera kwa JK, I guess nchi za jirani zimeona michango yake au ndio janja ya Kenya ya kutaka kumhonga ili asaini EAF.
Talking about obsession/addiction mkulu hakuna post utakayotundika bila kutaja jina la Mkjj.
lazima nimpongeze mwanakijiji sababu anafanya kazi nzuri sana ambayo wengi hawathubutu kuifanya.
Labda tuangalie hili nalo la ATC, nielewavyo mimi maendelea yapo ikiwa kuna mabadilko, mtoto anaongezeka urefu au uzito, msichana anaota matiti, familia inajenga kanyumba kake, vijisenti benki vinaongezeka.
Sasa kila mara tunapokuwa na kampuni/shirika kubwa basi watakaopewa ni wale wale ambao tumekuwa tukiwasikia miaka nenda miaka rudi. Je hii miaka 25 iliyopita haijatutolea wajanja wanaoweza kutupelaka mbele???????
ikumbukwe kabla KLM haijaenda KQ walikuja ATC na mtu mmoja huko ATC na mwingine wizarani wakakalia uamuzi kwa miezi tisa, mdachi akachoka akenda zake KQ, baada ya siku sita akapewa green light. Hebu tutafute watu ambao magazeti ya serikali na mengine hayajamwandika lakini ana kasifa kake kwenye ubunifu na tumpe watu wapya kabisa. La sivyo kila siku tutakuwa ni akina Mataka kwenye chupa mpya.

Heshima Mbele,
Nipo Hapa Nairobi toka juzi kwa shughuli maalum ya kidunia,na nimebahatiaka kusoma katika magaeti ya hapa kukwa Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete atapewa shahada ya heshima(shahada ya udaktari wa sheria katika chuo kikuu cha kenyatta).
............................................!!!!!
Hivyo kuanzia Leo,Mkulu,Muungwana atakuwa akiitwa
Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
........................!!!!
EEheee Bwana Gembe , machale yananicheza!! hao jamaa sina imani nao.
So ndo wale wale wanataka ka-ardhi ketu na kutaka kuhamia huku na kupata uraia?
Sasa leo wanachombeza kwa mbali, aenda Mlingotini kuagua!!!