Dr Jakaya Kikwete kaa kimya baba, Ukisema sema neno moja tu kuwa umewasamehe

JK ndio chanzo ya haya matatizo yote.. Vita yake na Lowasa Vs Membe matokeo yake ndo haya. Sisi ndo tumsamehe yeye.
Mnatakiwa kumpongeza badala ya kumsamehe. Kumbuka wakati wa utawala wake wengi wenu mlilishwa maneno kuwa raisi Kikwete hafai kutawala kutokana na upole wake(ambao ki uhalisia unatokana na upendo, huruma, utu na moyo wa kujali anaowaongoza), pili wengi wenu pia mkadai yey ni raisi dhaifu asiechukua hatua mapema pale anapohitajika kufanya hivyo nk. Sasa baada ya kuyatathini maneno yenu kwa kina ndo akaamua kuchukua maamuzi haya magumu yaliosababisha kumtosha mpaka best wake wa siku nyingi mh Lowasa ili awaridhishe nyie mliokuwa mnataka raisi mkali na mwenye maamuzi ya haraka. So kosa lake lipi hapo. Mlitaka awaletee Lowasa au Membe ambao wanaonekana wana tabia zinazofanana na zake km vile upole, kutabasam kila mda nk? Membe na Lowasa au Mkapa hawausiki na hili. Ni nyinyi wenyewe including wapinzan ndio mlitaka raisi wa aina hii
 
Kikwet hakuw a raisi mzuri hata kidogo sema alikuwa mnafiki. Huyu wa sasa ni mropokaji. Mabavu haya, dharau, ubabe nk. ni rangi ya jkwet na ndiye aliyrithisha haya yote tangia uchaguzi.
Huwezi kutenganish ajkwet na mateso ya WAtanzania. Lawana zote zitaflow kueleka kwake na familia yake.
Mnasoma namba mpya au zile zile
 
Bashite anamshauri msukuma mwenzake waanze kunyonga watu wote wanaowakosoa
 
JK kaungame muombe mungu msukuma augulie ikulu iwe kama Zambia na malawi watu wapumue hakuna uhuru watu wanabambikiwa kesi na Daud ukihoji unatumbuliwa hakuna kitu kama hiki Duniani kokote.
Lakini baadhi ya watanzania kushirikiana na wapinzan ndio walioomba kupewa au kupata raisi wa aina hii. Ndio maana na yy hili swala akalifanyia kaz na kuwaletea waliemtaka. Si walisema hawataki tena raisi dhaifu, anaecheka cheka hovyo na asiefanya maamuz magumu? Ndo huyu sasa kaletwa.
 
Jk atulie maana alishindwa hata kuwakemea mawaziri wake walipoboronga..na mwisho wa siku lawama zilitua kwake..
 
JK mdebwedo sana, ataongea sasa....amewapa kazi nzito waliomfuata hadi inaanza kuonekana aliyepo ni mbaya....atulie kimya huko aliko, huyu wa sasa alionekana alipokuwa waziri...matendo yake yalikuwa wazi....acha aendelee maana amekuwa Rais yaani yeye ndio boss..weeeeeeeeeeh!. Tulia kama maji mtungini, JK aliharibu sana nchi
Atakuwa alikuharibu ww huko uwani kwako ndomana umekimbilia kumshutumu fasta hapa JF.. Pole kwa alichokiharibu huko kwako kijana
 
M jpm ntamkubali hadi kufa japo utawala wake unaniathiri kwa kiasi kikubwa watanzania bado hatujajua tunahitaji nini siku akili sikikaa kichwani mtamkumbuka sana jpm sasa hivi hamtaona maana si ni yuleyule tu
 
Kwa uelewa huu mnatia huruma, kama mmefikia kutafuta nani bora kati ya mwanga na mchawi....poleni sana.
 
kila mtu huwa na mapungufu yake lakini jk miaka Yake mitano ya kwanza hakuharibu kitu ingawa mwishoni kidogo ndipo alibugi, huyu Msukuma mwaka wa kwanza tu Uchumi upo hovyo hovyo hakuna meli bandarini shilingi inazidi kushuka Thamani, pesa nyingi zinatumika kwenda kukandamiza wapinzani na kuonea watu, Utumbuaji wa kijinga jinga umeshika kasi anamkumbatia msukuma asiye na vyeti kisa na yy PhD yake ni ya kuunga unga yaa wasukuma wawili vihiyo ndiyo wanaipeleka Nchi shimoni.
Tusikwepe chanzo cha matatizo, chanzo ni JK hakuna lingine. Haiwezekani akawa analea mashetani kiasi hiki, kila mahali kuna dosari.....hahahaaaa...JK ndio chanzo kikuu cha matatizo haya yotee
 
Back
Top Bottom