Dr. Isack Ndodi mbona hasikiki?

Dr. Isack Ndodi mbona hasikiki?

Idimulwa

Platinum Member
Joined
May 27, 2011
Posts
5,102
Reaction score
2,682
Mwenye nayo tafadhari atujuze yu wapi huyu bwana?Amekuwa hasikiki muda mrefu kulikoni?Nina shida simu zake hazipatikani.
 
Jamaa kila unachokiona duniani ni dawa na dozi zote anazo. Ukimuuliza hata mkojo atakwambia namna ya kunywa ili upone. Ila kapiga na anaendelea kupiga pesa kibongobongo
 
...mmh sikuizi wachawi wanapiga live...
 
Jamaa kila unachokiona duniani ni dawa na dozi zote anazo. Ukimuuliza hata mkojo atakwambia namna ya kunywa ili upone. Ila kapiga na anaendelea kupiga pesa kibongobongo
kumuona tu elfu kumi haina kipimo wala ushauri..
 
Hizi biashara ukitaka ufaidi, inabidi uwe na kipindi ktk television kisha andaa watu wako wa ushuhuda kisha subiri uone utavyopiga pesa. Jamaa anaongea kama kameza radio! uenda anajipanga atoke vipi tena.
 
sasa hayo mapya uliyosema kwenye title yakowapi?
 
Nimemuona leo anahubiri mahubiri biafra kinondoni.. waumini hawafiki hata 30.. kweli kila jambo na wakati.
 
hawa wapiga ramli wamewashika masikio watanzania wengi!
 
Just like babu wa loliondo Mzizi mkavu, na walaghai wengine!
 
Last edited by a moderator:
Nimemuona leo anahubiri mahubiri biafra kinondoni.. waumini hawafiki hata 30.. kweli kila jambo na wakati.

Vipindi vyake vimetusaidia sana serikali ingekuwa inalipia vipindi watu kama ndodi watoe elimu bure kwa wa-tz.
 
Jamaa kila unachokiona duniani ni dawa na dozi zote anazo. Ukimuuliza hata mkojo atakwambia namna ya kunywa ili upone. Ila kapiga na anaendelea kupiga pesa kibongobongo

Nilimkuta AIRPORT INTER CAFE ANAPRINT DOCS FULAN AKAJAJAMAA YAKE KUMSALIMIA AKAMWAMBIA NJOO OFISINI TUPIGEHELA ACHANA NA UALIMU

JAMA AKAMJIBU KWELI WE MBEBA MAONO NTAKUJA MPENDWA AKANITIA MOYOSANA
MARUFUKU WAPENDWA KUWA MASKINI TAFUTENI CHANNEL MTOKE
 
Mwizi, tapeli, mbambaishaji na mlaghai. Amepauka kama wenziwe, anajipanga kuingia na gea nyingine; watch out for part two!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kazi ipo,nayeye ni tapeli?mbona sda wenamheshimu sana!
 
Back
Top Bottom