Dr Hussein Ngumbwae HERBALIST CLINIC iliyopo Temeke

Dr Hussein Ngumbwae HERBALIST CLINIC iliyopo Temeke

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Inawatangazia jaribio la dawa yake mpya iitwayo "MNASO" imetoa mafanikio makubwa kwa kuwanasa wagoni 2 Temeke. Inapenda kuwatangazia wale wote wenye matatizo ya kusalitiwa na wenza wao ofa maalumu ya punguzo la 50% wahi dawa ni chache.
 
Ulozi mtupu, hakuna lolote hapo! Aweke kwanza picha ya hao waliodaiwa kunasana tuione kabla ya kuanza kumuhoji kwanini anaendekeza ulozi katika karne hii ya Sayansi na Teknolojia!
 
Mimi nataka dawa ya kubadili jiji la Dalisalama liwe Idyodyoma bana,au nyoka awe kitabu cha kusoma ,huko kwetu kuna nyoka wengi lakini shule hazina vitabu,ukibadili hao nyoka kuwa vitabu vijana wataelemika
 
Ukijiita Dr. Kuna viambatisho vingine wenzako huwa wanaweka ili kuonyesha huo u-daktari ni wa kitu gani na umesomewa wapi mfano:
Dr. J. M. Kikwanji, Phd. Tourism & Comedy, au Dr. H. Munishi, MD.nk. Huo udokta wako unahusu nini au ni ule wa kuoteshwa na maruhani?
 
Back
Top Bottom