Dr. Hussein Mwinyi Must Resign/get fired for Gongo la Mboto armory Inferno

JK, Dr. mwinyi,Mwamunyange na Shimbo wawe waungwana waachie ngazi kama alivyo fanya EL, vinginevyo tutawaondoa kwa nguvu ya umma.Kama wanabisha wajifanye ving'ang'anizi kama Mubarak.Uzuri ni kuwa milipuko hii inaanza kuwatia ujasiri wabongo waliokuwa wanafikiri wako salama kumbe wamezungukwa na hatari kila upande.Haya wale mavuvuzela wa CCM waliokuwa wanajivunia amani chini ya utawala wa ccm waseme tena upuuzi wao huu.Damu iliyomwagika kwa uzembe wa watawala wa nchii ndiyo ufunguo wa mlango wa ukombozi toka wakoloni weusi CCM.
 
Leo mjukuu umeamua.

Inauma sana aisee!
Babu we acha tu........inanikumbusha machungu ya Mbagala ambapo nililazimika kuyameza kwa maumivu huku nikisamehe kuwa ni ajali......na leo tena ni ajali Babu?......................hakika machozi ya watanzania wote walioguswa na janga hili kwa namna yoyote ile hayatapotea bure.

hivi wale wapalestina huwa wanapataga wapi yale wanayojitoleaga muhanga??
 
JK, Dr. mwinyi,Mwamunyange na Shimbo wawe waungwana waachie ngazi kama alivyo fanya EL, vinginevyo tutawaondoa kwa nguvu ya umma.Kama wanabisha wajifanye ving'ang'anizi kama Mubarak.Uzuri ni kuwa milipuko hii inaanza kuwatia ujasiri wabongo waliokuwa wanafikiri wako salama kumbe wamezungukwa na hatari kila upande.Haya wale mavuvuzela wa CCM waliokuwa wanajivunia amani chini ya utawala wa ccm waseme tena upuuzi wao huu.Damu iliyomwagika kwa uzembe wa watawala wa nchii ndiyo ufunguo wa mlango wa ukombozi toka wakoloni weusi CCM.

Walivyo waroho wa kula fedha za umma hawa jamaa sijui kama wataweza kuachia ngazi maana EL alitolewa kafara kwa faida ya Mr. Handsome, Mungu ibariki Tanzania
 
....wakati shimbo yupo?...labda watokee wajeshi wenye uchungu na nchi hii..labda!!

AZA umenikumbusha Maji yalipowafika shingoni WANAKIJANI wakaamua kumtumia Shimbo kutishia wapigakura hasa wa Vijijini. Hapa ndo mahali pake na siyo siasa.
 
Wanaonyanyasika sana ni wale wa chini ambao pia hasa ndio wanajeshi wa ukweli mana kazi zote wanafanya wao akina SHIMBO and CO, wanafanya kazi moja tu, kuwatishia kuwafukuza kazi na kutishia wananchi huku wanapulizwa na viyoyozi basi. lakini jeshini pia nao ni watanzania wana machungu kuona nchi inaporwa hivi hivi tu!!!!
 
HI, KUNA REFORMS ZILIFANYIKA WAKATI jk ANACHUKUA NCHI ZILIZOANZA KWA KUMWONDOA MKUU WA JESHI NA KUMKABIDHI MSHIKAJI WAKE DAVIS MWAMUNYANGE........I HEARD KULIKUWA NA UNSATSFACTION FROM THE OLD GENERAL...

THEN IKAFUATA KUWAGAIA WASHIKAJI ZAKE KINA SHIMBO MAMLAKA......AKAWAPA NA TENDA ZA KULETA PAWA TILA HADI KUFIKIA KUSIMAMA JUKWAANI KUMPIGIA KAMPENI....

HOWEVER NIMESIKIA KUNA DIVIDE KATI YA ASKARI WA KAWAIDA WADOGO NA HAWA WAKUBWA...WADOGO WAKO UNSATSFIED....

JE KUNAWEZA KUWA NA CONNECTION NA MABOMU?

NI INTELIGENSIA TU..kwa wale waliosoma logic deductions! turudi kwa kina shyrlok holmes!
 
Somebody tell me! Is it so that Shimbo ni General wa jeshi kabisa jeshi la ulinzi? No wonder!!
 
Mwacheni mwamu wa wate ye huwa haongei anangojea wananchi mlianzishe ili awaunge mkono kwa kuwaambia tulieni waacheni wananchi waamue.
 
Gen Shimbo umekua busy sana na mambo ya kipuuzi eti kusaidia nchi itawalike na kutoa vitisho kwa wananchi ukiacha kazi yako hasa ya kulinda mipaka ya nchi.

Sasa kwa hili la mabomu ya gmboto wewe na waziri wako hii ni mara ya 3 sasa mabomu kulipuka na kuua watu kwa uzembe wako na kutokutimiza majukumu yako kama mnadhimu mkuu wa jesh .

Sasa tunakutaka basi uwe muungwana ujiuzulu mana mkwere hawezi kukufukuza jiuzulu ukafanye kazi na ccm umepwaya sana kwa nafasi uliyopo.

Haya ndo madhara ya wanataaluma kuchezea taaluma zao na kujiingiza kwenye siasa

Hapa hilo janga atakuja na habari za kipuuzi ilikuwa ajali ya kawaida
 
tumekustukia!hahahahahaha

mwambie mwajiri wako kuwa SIO KIRAHISI NAMNA HIYO....!
 
Jamani wana JF kutokana na chanzo na historia ya mlipuko wa mabomu ya mbagala ilionekana wazi kwamba kulikua na mvutano kati ya jeshi na serikali ili juu ya kugharamia hela za kwenda kuharibu silaha ku kuu au silaha zilizochoka.
Now imetokea tena Gongo la mboto gala la silaha limelupuka tena na hakijaeleweka chanzo nini!!!

Mi nahisi kuna mgomo baridi maana hawa watu hua wanabanwa sana na sheria na nidhamu so hua kugoma hadharani ni ngumu pia nimewahi kusikia malalamiko juu ya kupandishwa vyeo kwa baadhi ya wanajeshi bila kufuata njia sahihi na pia jeshi kua na unyanyasaji wa wanajeshi wenye vyeo vya chini na kuwalinda wale wenye vyeo vya juu.

Mbona kule wanapoishi vigogo lugalo hua hayalipuki??

VIPI KUNA MTU MWENYE DETAILS ZAIDI KUHUSU HILI??
karibuni kwa michango yenu.

......hapa kunakitu kinaendelea chini ya carpet,,,,,wana intelijensia hebu tulichunguze hili!!!
 
Na huenda CDM wanamkono hapo na mgomo huo! maana tumeshuhudia jinsi CDM wanavyochochea migomo kupitia wanafunzi wa vyuo vikuu! na lengo lao hasa sijui ni nini! jee, wanaona kwa njia ya kura kamwe hawataweza kuingia madarakani? na wanatumia njia hii mbadala ili wananchi waiasi Serikali yao walioichagua kwa njia ya kidemokrasia?
 
Usiwaingize wenzio mkenge Kaka, ziko njia za kistaarabu na za kisomi zaidi ku deal na issues za namna hii. Yaliyotokea Egypt hayako applicable kila nchi ndugu yangu. Hiyo siyo formula, it really depends on numerous factors to achieve that goal.

Hizi ni kauli za kizembe na inaonyesha jinsi ulivyo miongoni mwa watu wapendao na wafurahiao mateso na maafa kwa wenzao kwa Kiingereza sadist.
 
Nadhani kwenye hili twendeni strategically.
Kuwe na mpango maalum wa kuhamasishana, ikiwezekana ianzishwe thread maalum kwa ajili ya hilo. Tupeane mikakati ya lini tunaanza na wapi tunaanzia, na uhamasihaji wa watu ambao hawamo humu jamvini uweje. Wakipatikana watu 20000 kwa kuanzia ni idadi nzuri sana.

Nime-brouse thread moja leo nimeona kuwa imesomwa na watu zaidi ya 25000. Hii inanipa picha kuwa mtandao huu wa JF unasomwa na watu wengi sana. Sasa kazi iliyopo mbele yetu ni kuhakikisha idadi kubwa ya members na wasomaji wa JF wanakubaliana kwa sauti moja katika hili. NAAMINI TUNAWEZA. Shime tuanze mikakati, wakati ni huu, vinginevyo tukae kimya.
 
Usiwaingize wenzio mkenge Kaka, ziko njia za kistaarabu na za kisomi zaidi ku deal na issues za namna hii. Yaliyotokea Egypt hayako applicable kila nchi ndugu yangu. Hiyo siyo formula, it really depends on numerous factors to achieve that goal.

You think so! yaliyotokea Egypt not applicable bongo!!!? Where the hell do you live on this earth?? Guess what? Itatokea tena siku si nyingi acha kujidanganya na kuwadanganya watanzania. Ustaarabu gani wa kuwapa hii serikali iliyooza karibu funza waje wale mzoga. Kikwete's Goverment has to resign ASAP period. Akifa ndugu yako bado utataka ustaarabu wa kisomi? Ustaarabu wa kisomi my leg!!!%%&*&*&^
 
Dr Mwinyi slept on his posh home for 10 hrs while these kids were wandering the streets....hawajui hata kazi ya hayo mabomu

2.jpg
 
Back
Top Bottom