Hao kina Masha na Membe wataendelea kuwa mawaziri au watapewa vitengo maalumu vya ulaji kidogo watulie. Kwa sasa mambo yote ni kwa Hussein Mwinyi maana hata hivyo ni zamu ya Zanzibar kutawala.
Baada ya Mwinyi tunamuaanda kijana safi na mtanashati - Ridhiwani Kikwete
Hii ndio ile tunayoiita ufisadi wa uongozi... Hawa mabwana unao wataja hawana Elimu zaidi ya Elimu za kununua vyeti.. Wengine wamesoma na kusomea India kule wengi wanakonunulia madegree !!!
Wacha kabisa kutaja majina ya jinsi ya jk ni haramu Tanzania,Tumechoka kabisa kusikia jina hilo..!!