and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Mheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni.
bora hata ya Bashe aisee , huyu aliyepo kwa sasa dah😂😂😂😂Mheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni.
Bongo siku hizi ukiona mtu yeyote anayependa kutanguliza (au wafuasi wake wanatumia) Dr, Engineer.... mwangalie mara mbili mbili. Ni lazima ana elements za utapeli....Hizi Phds za wanasiasa wa kibongo za kuogopa sana washaona kama fashion hv sikuhizi
Yaani Maccm wanawaza vyeo tu. Leadership si vyeo pekeeMheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni.
Kelele nyingi hamna kitu pesa zimeishia mifukoni mwake anaogelea kwenye ukwasi wa jasho la walalahoiKwanza atuambie Building Better Tomorrow (BBT) imeishia wapi?
Mimi nawaza ni Bora mkampa Lucas Mwashambwa anaweza akawatoeni!Mheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni.
Sio mbaya. Charity begins at homeIle program yake iliishia wapi au kajitajirisha na kuwaacha vijana wakitapatapa
Bashe jamaa tulipiga nae kitabu mzumbe university.......that time hakuwa na mambo mengi.Mheshimiwa Dr Hussein Bashe MP PhD anasubiria kuapishwa baada ya mabadiliko ya Baraza la mawaziri hivi karibuni.