Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dr. Abbasi amefunga ndoa na Mtangazaji wa Clouds FM Mamy Baby.
Zero grazingKatibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dr. Abbasi amefunga ndoa na Mtangazaji wa Clouds FM Mamy Baby.
....kapicha
Ndoa imefanyikia taboraKatibu Mkuu huyo wa Wizara ya Utamaduni na michezo leo ameonekana hadharani akifunga ndoa na Mwanamke anayejulika kwa jina la Mammy baby , ambaye inasemekana ni Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha XXL
Haijulikani mahali ilikofungwa ndoa hiyo wala ukumbi kutakakokuwa na Sherehe za Harusi hiyo .
Pia haijajulikana kama ni ndoa ya kwanza , ya pili au ya tatu .
Tunawatakia kila la heri