SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Asanteni Bukombe , asanteni CCM. Jembe tunatamba nalo.
Imeisha hiyo.Duuuh kabla hajavuka October mshaanza kumuwangia?
Nchi imeoza hii kuna mwenzie anaitwa kitila mkumbo utadhani ni msomi wa maana sana kumbe kasomea bla bla bla tu....mtu anasomea vitu vyepesi halafu anavimba haha.It is only in Tanzania where mediocre people like Biteko are addressed as Dr. A mere primary school teacher is feeling proud with that higher learning title which in fact he doesn't deserve.
Imbecile! I regret to be a tanzanian.
Du! Rais Mzanzibari. Waziri mkuu Mnyarwanda. Kweli, hii ni bongolalaland.Asanteni Bukombe , asanteni CCM. Jembe tunatamba nalo.
Taifa hili linatukuza wapuuzi lkn wenye akili wanabagazwaNchi imeoza hii kuna mwenzie anaitwa kitila mkumbo utadhani ni msomi wa maana sana kumbe kasomea bla bla bla tu....mtu anasomea vitu vyepesi halafu anavimba haha.
Wasukumass hawamtambuii sio Raia......Asanteni Bukombe , asanteni CCM. Jembe tunatamba nalo.
Msomali tena? Mwishowe mtasema atakuwa Rostam au DewjiWaziri mkuu ni Bashe.
Asitukumbushe ya Deo FilikunjombeDuuuh kabla hajavuka October mshaanza kumuwangia?
Ogopa watu wa namna hiyo mamagu alinishauriBiteko ana kaubindamu kidogo ni mtu muugwana
Unajipigia promo nyau wewe.Asanteni Bukombe , asanteni CCM. Jembe tunatamba nalo.