Dr. Dorothy Gwajima na makeke kama Kangi Lugola

Asibadilike kwasababu ya cheo yeye aendelee kama alivyo ubaya in kujioneshaonesha lkn kuongea sio mbaya.
Watu waelewe kuondolewa madarakani na magu ni utashi wake yeye na haimaanishi hufai?? Hata magu ingewezekana angeondolewaga uwaziri enzi yake kama rais angekuwa kamayeye...
 
Huyu mama yupo vizuri ni swala la muda utamkubali labda haujumiwe na watendaji wenzake ila nakuambia ni Moto toka akiwa Tamiseni alikuwa anafanya kazi sana na izo mbwembwe zilikuwepo
Angekuwa amefanya kazi ya maana huko TAMISEMI, basi jiwe asingemwambia jafo kuwa wizara haina ufanisi wa kazi
 
Back
Top Bottom