celinawetu
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,330
- 1,059
Acha umbea wew ulitaka apande daladala kama weweWandugu Leo nimemuona dau akiwa na gari ya Nssf,je bado anahudumu Nssf?
Ikumbukwe kuwa baada ya kutumbuliwa alokuwa wanaenda ofisini na ku approve baadhi ya mambo hadi alivyopigwa stop na approval zote kuwa null and void
Jamani msitumie jazba kwa swala hili na kutoa maneno ya hovyo,huu ni wakati wa kuwa watulivu,tusijiingize kwenye upumbavu tudumishe utanzania na uduguAcha umbea wew ulitaka apande daladala kama wewe
Huyu Dr.Dau yaani ni king'ang'aniz kweli kweli... Yaani nimesikia hata access ya milango na systems kama email za Nssf bado anazo yaani bado ana access ktk system zote pale.... JPM hebu mpe nchi huyu mtu aondoke hapa nchini...
Wewe utakuwa ni mmoja wa waathirika Wa kuondoka kwa jizi dau. Tulia hakuna marefu yasiyo na nchaChuki hizi. Mwisho utakuja kusema DR. Kampanda mama yako. Tushachoka na huu upumbavu wenu
Jamani kutukanana tuache,tujenge hoja,dau asitufarakanishe yeye si mtume Mohammed wala yesu,ni mwanadamu so aweza kuwa na mapungufu tuyasemeWagalatia wangekuwa na uwezo wangemtoa roho Dr. Dau.
Rekebisha "heading " sema Mh. Balozi Dr. Ramadhani Dau ameonekana kwenye gari lisilo na hadhi yake la NSSF.
Rekebisha "heading " sema Mh. Balozi Dr. Ramadhani Dau ameonekana kwenye gari lisilo na hadhi yake la NSSF.
Rekebisha "heading " sema Mh. Balozi Dr. Ramadhani Dau ameonekana kwenye gari lisilo na hadhi yake la NSSF.[/QUOTE
acha uchokoz we2, wakija wenyewe watakupiga mawe
Tunashangaa wanavyomuandama Mh. Balozi Dr. Ramadhani Dau.Kwani Dau ni nani katika hii nchi?