DR Congo: Mafuriko yavunja lockdown Uvira

DR Congo: Mafuriko yavunja lockdown Uvira

Mnapenda kuleta taarifa mbaya tu toka DRC, tuleteeni na nzuri, maana ni nyingi kuliko mbaya
Habari njema, serikali ya DRC imekubali raia wake kufanyiwa majaribio ya chanjo ya corona, thanks to Bill Gates.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Duh pole yao huko wana uvira,nakumbuka mwaka 2017 niliwahi kuutembelea huo mji ulio Karibu kabisa na Bujumbura(Burundi) Katika Safari za utafutaji wa maisha.
 
Duh pole yao huko wana uvira,nakumbuka mwaka 2017 niliwahi kuutembelea huo mji ulio Karibu kabisa na Bujumbura(Burundi) Katika Safari za utafutaji wa maisha.
OK,nimefanikiwa kufika Bukavu ila mvua/maji yameharibu miundo mbinu,mto Congo umetanuka utadhani ziwa ikiendelea kwa siku tatu nawaakikishi kuna miji itatoweka kwenye ramani ya Congo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari njema, serikali ya DRC imekubali raia wake kufanyiwa majaribio ya chanjo ya corona, thanks to Bill Gates.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Yule Muyembe si walitaka kumuua kwa kukubali hiyo chanjo? Hadi akaomba radhi?
 
Halafu bado mtu anakuja na vitisho vya corona wakati sie wenyewe tuna majanga yetu ya kupambana nayo.
 
Nimelala zangu nmejifunika duvet cover.
Naperuzi internet nna Gb 20 za kuchezea , wali na mboga zake uko kwa hotpot, umeme unawaka nikitoka hapa naoga maji ya motooo.

watu wako Uvira hawaijui Kesho yao[emoji22] Nyumba zimeenda na maji hawana pa kulala pengine wanalala wamesimama na nguo zilizoloa/wengine misiba.. Lakini bado nalalamika mambo magumu siridhiki na hali yangu.Mungu anisamehe sana
Kwa kweli. Tujifunze kushukuru na kuridhika kwa neema na baraka tulizopewa na mwenyezi MUNGU.
 
Huwa Najiuliza DRC hakuna kitu kizuri hataaaa kimoja??? Kila siku taarifa hii au ile
 
Back
Top Bottom