DR Congo: Mafuriko yavunja lockdown Uvira

DR Congo: Mafuriko yavunja lockdown Uvira

Nimelala zangu nmejifunika duvet cover.
Naperuzi internet nna Gb 20 za kuchezea , wali na mboga zake uko kwa hotpot, umeme unawaka nikitoka hapa naoga maji ya motooo.

watu wako Uvira hawaijui Kesho yao[emoji22] Nyumba zimeenda na maji hawana pa kulala pengine wanalala wamesimama na nguo zilizoloa/wengine misiba.. Lakini bado nalalamika mambo magumu siridhiki na hali yangu.Mungu anisamehe sana
Wewe uko mji gani dada?
 
Hali bado Ni mbaya Tarafa ya Uvira, huko Congo baada ya miili kutapakaa mitaani.Maji ya mafuriko kuanza kupungua miili zaidi ya 30 imeopolewa, wakiwemo watoto wachanga.

Wakazi wa Tarafa Uvira wameomba Rais wa Congo kuwahi kupeleka Misaada ya kibinadamu kabla ya magonjwa ya mlipuko kutokea.

Kutokana na ukubwa wa Nchi ya Congo na miundo mbinu eneo Hilo bado Serikali haijafika kutoka Kinshasa.

[emoji3586]Watu Zaid ya laki moja hawana makazi Wala chakula.Hakuna cha KORONA wala nini hali ni mubaya sana.[emoji116]

View attachment 1422617View attachment 1422618View attachment 1422620View attachment 1422621View attachment 1422622View attachment 1422623View attachment 1422627View attachment 1422628

Sent using Jamii Forums mobile app
Congo ni nchi tajiri kuliko zote kwa uwepo wa rasimali/maliasili lakini ni moja kati ya nchi maskini mnoooo duniani
 
Africa kwa majanga bado sana!! Tuombe tu mwenyezi Mungu atuangalie kwa jicho la huruma.

Sasa kwa mfano hapo hivi corona itabakisha mtu kweli?
 
Africa kwa majanga bado sana!! Tuombe tu mwenyezi Mungu atuangalie kwa jicho la huruma.

Sasa kwa mfano hapo hivi corona itabakisha mtu kweli?
 
Nimelala zangu nmejifunika duvet cover.
Naperuzi internet nna Gb 20 za kuchezea , wali na mboga zake uko kwa hotpot, umeme unawaka nikitoka hapa naoga maji ya motooo.

watu wako Uvira hawaijui Kesho yao[emoji22] Nyumba zimeenda na maji hawana pa kulala pengine wanalala wamesimama na nguo zilizoloa/wengine misiba.. Lakini bado nalalamika mambo magumu siridhiki na hali yangu.Mungu anisamehe sana
Aisee una raha mdada
 
Back
Top Bottom