DR Congo: Mafuriko yavunja lockdown Uvira

DR Congo: Mafuriko yavunja lockdown Uvira

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,649
Reaction score
2,805
Hali bado Ni mbaya Tarafa ya Uvira, huko Congo baada ya miili kutapakaa mitaani.Maji ya mafuriko kuanza kupungua miili zaidi ya 30 imeopolewa, wakiwemo watoto wachanga.

Wakazi wa Tarafa Uvira wameomba Rais wa Congo kuwahi kupeleka Misaada ya kibinadamu kabla ya magonjwa ya mlipuko kutokea.

Kutokana na ukubwa wa Nchi ya Congo na miundo mbinu eneo Hilo bado Serikali haijafika kutoka Kinshasa.

[emoji3586]Watu Zaid ya laki moja hawana makazi Wala chakula.Hakuna cha KORONA wala nini hali ni mubaya sana.[emoji116]

FB_IMG_1587219031981.jpg
FB_IMG_1587219031981.jpg
FB_IMG_1587218999566.jpg
FB_IMG_1587218986557.jpg
FB_IMG_1587218978405.jpg
FB_IMG_1587218978405.jpg
FB_IMG_1587218936900.jpg
FB_IMG_1587218936900.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali SI nzuri kabisa mungu awalinde kwa kweli

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Nimelala zangu nmejifunika duvet cover.
Naperuzi internet nna Gb 20 za kuchezea , wali na mboga zake uko kwa hotpot, umeme unawaka nikitoka hapa naoga maji ya motooo.

watu wako Uvira hawaijui Kesho yao[emoji22] Nyumba zimeenda na maji hawana pa kulala pengine wanalala wamesimama na nguo zilizoloa/wengine misiba.. Lakini bado nalalamika mambo magumu siridhiki na hali yangu.Mungu anisamehe sana
 
Poleni sana kwa majanga yaliyowakuta mwenyezi Mungu awafanyie wepesi


Sent using IPhone X
 
Back
Top Bottom