DR Congo and Rwanda's FDLR rebels: Why Tanzania could end up eating leftovers

DR Congo and Rwanda's FDLR rebels: Why Tanzania could end up eating leftovers

Humu JF kuna watu wanatumiwa na nchi na makundi ya nje kwa manufaa ya wachache.

FDLR haisafishiki!

kagame ndio anayelipa PR companies kama racepoint kumsafisha, ndie anayefadhili NGOs kama "enough project" kumsafisha, ndie anayelipa waandishi kama Andrew Mwenda kumsafisha....wewe taja na thibitisha taasisi, mtu, kampuni yoyote ile inayolipwa kuisafisha FDLR. Moja tu na uthibitisho wake, sio useme ooh, jmali, thibitisha!
FDLR inalindwa na ukweli baas!
 
Aaah! Hivi tukiwa wakweli hapa kwa ku-tally sum total ya binadamu wenzetu walio kuwa murdered huko Kongo na Rwanda kwenyewe under PK's regime tutapata picha nyingine kabisa - mark you: Mahuaji hayo bado yanaendelea mpaka leo, alafu na haya mahuaji ya FDLR ambayo Nchi za magharibi na Rwanda yenyewe uyapigia debe kinafiki tu, kama PK aliingia madarakani kwa mtutu wa bunduki kwa nini wao waone ni dhambi FDLR wakitaka nao waingie madarakani kwa staili ile ile!!!

Ni kweli Baadhi ya Watutsi na Wahutu walihuawa under the heat ya PK na wenzake kumuhua kikatiri Rais wa nchi huru huku wakijuwa wazi wazi Habyarimana alisha ridhia kugawana madaraka na Watutsi, lakini kutoka na hulka za baadhi ya Viongozi wa Kitutsi kupenda madaraka kupindukia wakaona ni vyema wamumalize Habyarimana fasta - leo hii wanajitia kulia lia Gynocide Gynocide wakati wenyewe wame-commit A MEGA GYNOCIDE nchini DRC na Rwanda kwenyewe, sijawahi kusikia nchi za magharibi zikikemea matendo ya ukatiri wa kupindukia wa Administration ya PK!!!

Hawajambo kwenye nyanja za propaganda, wame-borrow a leaf kutoka kwa Wayahudi katika ku-exaggerate idadi kamili ya Watutsi waliohuwawa, wanalifanya hilo maksudi ili wapate kisingizio cha kug'ang'ania madarakani na kuwatawala majority 4 ever, hawajifunzi lolote kutoka Africa Kusini - hukuna utawala wowote Duniani uliwahi kufanikiwa kuwatawala Majority 4ever - maguvu/ubabe wa kijeshi notwithstanding.

Kajifunze Kiswahili kwanza, au andika Kirundi/Kinyarwanda
 
beth

One point to note here is that FDLR came out from Rwandan civil war in 1994, not from Tanzanian society. Undoubtedly the current government in Rwanda is far from perfect. On the other hand what the western countries,especially the U.S have supported and encouraged in Rwanda is a crime against humanity in general. The simplest solution now is to think about what is good for the Rwandan people especially those found in Congo forests, FDLR. The international communities should do the right thing and work towards ending the violence which they helped start. Maybe in doing political ideology there will be some redemption for their sins.

Well said mkuu, pesonally I dont think Rwanda Turmoil gonna be resolved in
"ourlife time"
 
kagame ndio anayelipa PR companies kama racepoint kumsafisha, ndie anayefadhili NGOs kama "enough project" kumsafisha, ndie anayelipa waandishi kama Andrew Mwenda kumsafisha....wewe taja na thibitisha taasisi, mtu, kampuni yoyote ile inayolipwa kuisafisha FDLR. Moja tu na uthibitisho wake, sio useme ooh, jmali, thibitisha!
FDLR inalindwa na ukweli baas!
ulikuwa umemaliza siku bila kuponda uongozi wa kwenu! Kagame vitendo vyake vinajitangaza haina haja ya kuajiri waandishi!!! mfano wa karibu, unakumbuka ulivyokuwa ukiponda Rwandair? ila leo habari hii...Rwandair now to fly to South Africa, umeipa tano, polepole hizo sumu zitakutoka tu... hata wale wakuu wenu kama kina Rwarakabije hivi wamo ndani ya mstali na wanapeta kama kawaida. Haya turudi kwenye swali lako, eti FDLR hailipi mtu kuisafisha? au unatania? unajuwa jMali FDLR kuisema vizuri ni kama kujitangaza eti unafanya biashara ya unga! hata msanii alibwatuka, wafaransa wakamwambia kateleza lakini bila kuanguka...uone kama ataongeza kupayuka hadhalani!
kwa kifupi FDLR inawafadhili kibao ina hadi balozi UN ambaye ni mfaransa, chief DPKO ladsous ndiye aliye zuga Dunia isielewe kinachoendelea Rwanda kipindi cha chinjachinja yenu , huyu jamaa ndiye aliye wafagilia njia ya kuingia Zaire, yeye na Mitterand ndio walio watafutia njia ya kukimbilia Kibeho na kwa kujaribu kufungua macho ya wafuasi wako... usione vyaelea vimeundwa jMali! huyuhuyu ndie aliyewapumbaza (nunua) baadhi ya viongozi wa SADC ili FDLR iongezewe miezi 6 kusudi tarehe ifike wakati Rwanda ishaachia kiti cha UNSC alafu akosekane wakumshughulisha chief DPKO ila ya Mungu mengi Angola tuliyo ipokeza kiti UNSC hivi tunaongea lugha moja na imeshaanza kumshughulisha baba yenu wa ubatizo Ladsous na ndio maana hata kile kikao alichopendekeza yule Mzulu walikitupilia mbali, fanya mchezo na watu wenye pesa zao...hawanunuliki kama wenzangu namie.
 
Mtaalam wa kweli hawezi poteza muda kumpiga mwandishi, bali atabisha takwimu na facts zilizotajwa kwa yeye kuleta picha halisi ama kwa mtazamo wake. Haya mengine unayoyataja ya tofauti za GDP zetu ni hadithi za alfaulela maana hiyo tofauti imekua hivyo kwa miaka kumi iliyopita, hamna jipya.

Hii taarifa imeelezea jinsi Wa-south wanavyonufaika na ngoma ya Congo, wapo wanahusika kijeshi lakini kwa kiaina wanajua kuchuma kwa asilimia kubwa, nyie mpo humo kama vipofu, mnadhani hii dunia inajali na hayo mambo ya undugu wala udada.

MK254 usiongee kishabiki, hata huyo mwandishi amejisahau kuna sehemu kasema South Africa inaenjoy geographic advantage in case mambo yameharibika eti sie TZ tutakuwa waathirika wakubwa, amesahau kuwa the vice versa is also true kwamba mambo yakienda vizuri tutafaidi bila hata kuwa na project za umeme kama SA. Mpaka sasa wacongo ndio wanaoongoza kwa kutumia bandari ya Dar sasa wakitulia biashara itaimarika zaidi hiyo ni faida mojawapo.

Halafu faida sio za kiuchumi tu zipo za kiusalama pia, Mgogoro wa Congo unatuathiri sana kiusalama lakini pia tumechoka kubeba malundo ya wakimbizi. Nadhani hata Kenya hawana project ya maana Somalia sasa walienda kufanya nini? Halafu mkiambiwa anzeni kwanza kujadili kilichowapeleka Somalia na faida mnazozipata kabla hamjaijadili TZ kuingia Congo mnajifanya mnajua kanuni za mijadala.

Mkenya kwa sasa anatakiwa awe concerned na Usalama na uchumi wa kenya na sio wa TZ. Sie hatuna interest ya kujadili kinachowakuta Somalia, tunaguswa zaidi na DRC kwasababu kuna kitu tunatafuta huko, wakenya inakuaje mnakuwa bize na mambo ambayo TZ inafanya kuliko hata mauaji ya wakenya huko Wajir? Huyo mwandishi usimtetee kwasababu ameandika kishabiki bila kujua ile kanuni kuwa hakuna nchi inayofanya kitu bila maslahi, na hata Kenya kushikamana na Kagame na Museven sio kwasababu Kenya haijui kuwa Kagame na museven wana ajenda yao bali ni kwasababu Kenya inajua kuwa ikiwakorofisha hao jamaa basi mambo yatakuwa yameharibika mno kwa Kenya.
 
beth

One point to note here is that FDLR came out from Rwandan civil war in 1994, not from Tanzanian society. Undoubtedly the current government in Rwanda is far from perfect. On the other hand what the western countries,especially the U.S have supported and encouraged in Rwanda is a crime against humanity in general. The simplest solution now is to think about what is good for the Rwandan people especially those found in Congo forests, FDLR. The international communities should do the right thing and work towards ending the violence which they helped start. Maybe in doing political ideology there will be some redemption for their sins.
FDLR came out from Rwandan civil war in 1994? and who saidthat we are perfect? Well… one of the good things of this Jamii forums is todisplay what is in the mind of ------, hypocrites and war mongers like you andimmediately get debunked… by the way where were the Tanzanians when our peoplebeen haunted to death by jMalis? It took the mighty RPF and only RPF you idiot,to stop the Genocide and for Rwanda to be a country again, actually the westerns(who also did nothing) understand it better and left with no choice but tosupport the nation of resilient people, you really give me a hard time to understandwhich violence you are talking about, as a matter of fact the security we enjoyin Rwanda I presume is approximately equal to the one in heaven, even if you are analbino… those FDLR who are in the forests of DRC should come back home or faceanother round of cholera, nothing will help them than coming back home and askfor forgiveness, a lot of them have been forgiven and are now living in peacewith those they victimized… can you tellme another place in the world where these kind of stories could be heard? Only in Rwanda…

kagame ndio anayelipa PR companies kama racepoint kumsafisha, ndie anayefadhili NGOs kama "enough project" kumsafisha, ndie anayelipa waandishi kama Andrew Mwenda kumsafisha....wewe taja na thibitisha taasisi, mtu, kampuni yoyote ile inayolipwa kuisafisha FDLR. Moja tu na uthibitisho wake, sio useme ooh, jmali, thibitisha!
FDLR inalindwa na ukweli baas!

My predictions are slowly coming true.
 
kagame ndio anayelipa PR companies kama racepoint kumsafisha, ndie anayefadhili NGOs kama "enough project" kumsafisha, ndie anayelipa waandishi kama Andrew Mwenda kumsafisha....wewe taja na thibitisha taasisi, mtu, kampuni yoyote ile inayolipwa kuisafisha FDLR. Moja tu na uthibitisho wake, sio useme ooh, jmali, thibitisha!
FDLR inalindwa na ukweli baas!

ungeongezea na nchi. Serikali ya Tanzania inayosema eti group yako FDLR ni "freedom fighters" wakati dunia yote inatambua kuwa ni terrorist group. Halafu hata hamlipwi chochote.
 
teh teh teh do you know the history of FDLR, RPF & Tanzania and who is jMalis by-the-way????
The truth is this!! Get this in your head you dirty tall bastards!! also know as yank tutsi!! the government of rwanda want to destabilise the great lakes!! Tanzania sits in a crucial position where it is the most non aligned country in the region, like your honourable "punga" president knew.
Your country is criminally involved in sending hi-tech weapons to arming groups of Nkunda Batware, Ntaganda and Sultani Makenga who were destroying Congo and killing Hutu in a different time. What a shame!! You say 20 years' rule of Kagame family is like one in heaven??? Do you know, for more than 20 years Hutu tribe has been tortured, killed and suppressed by fanatic Tutsi tribe. Now, they are on seat for political negotiations, you cry bug-bite. Go, have a wash, you stink !!!
Lol… oh yeah! teach me some history please, you see…at first I thought you are an idiot but it seems you are just a foolish guy orboth, jMali does not need anintroduction in this forum! He is your fellow Interahamwe who is busymudslinging the good & patriotic leaders of his own country of origin (Rwanda)while hiding in Tanzania.

You knowMaziku, having a Tanzanian name doesn't qualify you to be one, just recently inAngola I was unlucky to meet another Interahamwe with a Portugese name, but well…all what I can say is… I understand your pain but you are yet to tell us, howmany members of your family were killed or tortured by RPF and while doing what,was it done on purpose or was it done while RPF soldiers were trying to stopyour acts of Genocide?? But even if they did it on purpose when will you takeyour accusations to court because so far what we hear from you guys is justnoise or unless you say all the courts in the world are scared of RPF… Lol, bythe way not only in DRC we will dig you out wherever you run to…
 
ungeongezea na nchi. Serikali ya Tanzania inayosema eti group yako FDLR ni "freedom fighters" wakati dunia yote inatambua kuwa ni terrorist group. Halafu hata hamlipwi chochote.

That is a lie: FDLR sio terrorist group, baadhi ya viongozi wanaishi europe for years! Kama ambavyo viongozi wa RNC kina Rudasingwa wanaishi kwa uhuru nchini marekani lakini Rwanda inawaita "terrorists". Pili, kuhusu them being freedom fighters, mbona hilo liko wazi? IS wanajiita IS na dunia nzima inawaita IS, FDLR kirefu chake ni nini?
 
teh teh teh oh my goodness!! I'm tanzanian and i love my country so much..
let us discuss the hot topic and stop blah blah blah here. You have been told lies and I do not have a time to teach yank tutsi, please review the history of RPF, and your "punga" president himself will tell you how he became leader of Rwanda. You're a fool who live with Kagame's dream. It took genocides to dismantle Rwanda, history proves it. Even after dismantling FDLR will keep on fighting. Viva freedom fighters.!! Viva FDLR.!!
Hot topic ? Okay let's agree you're a pure Tanzanian who loves his country! So as a real Tanzanian, which hot topic concerns you the most? Interahamwe who were killed during liberation struggle or innocent albinos killed and continued to be killed by their fellow Tanzanians? A government which fights corruption with their all means or the one which punishes civil servants who don't accept corruption? A government which invests in the youth by providing them with the needed materials and skills or the one sends them abroad with bags full of drugs, Maziku questions can go on and on… you don't need to teach me my own history… since I have introduced jMali to you, now all what you can do is to exchange your contacts with him and start drafting theplan B, C or whatever, because as far as I am concerned things are going deep deep south for the FDLR. Take a look here: http://allafrica.com/stories/201412310787.html
 
That is a lie: FDLR sio terrorist group, baadhi ya viongozi wanaishi europe for years! Kama ambavyo viongozi wa RNC kina Rudasingwa wanaishi kwa uhuru nchini marekani lakini Rwanda inawaita "terrorists". Pili, kuhusu them being freedom fighters, mbona hilo liko wazi? IS wanajiita IS na dunia nzima inawaita IS, FDLR kirefu chake ni nini?
Really? so what Ignace Murwanashyaka and Straton Musoni are doing in German jails? you can keep on changing the leaders but your Ideology is what matters to us! and what about this one Democratic Front for the Liberation of Rwanda (FDLR) | Terrorist Groups | TRAC
 
kwani mashtaka yao huyajui? mention one that says genocide.
hiyo link yako hata siisomi jibu lake lazima litakuwa hili: Was FDLR Ever Designated Terrorist Organization by US Government? Yes. Is It Now? No.
 
[h=1]UN yailaumu Tanzania kwa hali ilivyo DRC[/h]
  • 10 Februari 2015
Mshirikishe mwenzako

141107134109_fdlr_kisagani_512x288_getty.jpg
UN yailaumu [COLOR=#0000FF !important]Tanzania kwa hali ilivyo DRC
Umoja wa mataifa imezituhumu serikali za Tanzania na [COLOR=#0000FF !important]Burundi[/COLOR] kuhusiana na hali katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Ripoti mpya ya kundi la wataalamu wa umoja huo kuhusu Congo, imeituhumu Tanzania kwa kuwaruhusu viongozi wa kundi la waasi wa FDLR kuandaa mikutano nchini humo.
Imeeleza pia kwamba wanajeshi wa Burundi wametekeleza unyanyasaji wa kingono.
Taarifa hiyo ya Umoja wa mataifa inasema kuwa tangu mwaka wa 2013, viongozi wa FDLR na baadhi ya washirika wao wa kisiasa kutoka Ulaya wamekuwa wakikutana nchini Tanzania.
141106034321_drc_soldiers_march_512x288_afp_nocredit.jpg
Majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakipambana na waasiLakini wachunguzi wa Umoja wa mataifa walipoiuliza serikali ya Tanzania kujibu madai haya ilikanusha kabisa kuwahi kuakaribisha mikutano yoyote ya waasi ndani ya ardhi yake na kuongeza kuwa hakujawahi kuwa na mazungumzo yoyote kati ya majeshi yake na wapiganaji wa FDLR.
Umoja wamataifa umesema pia kuwa una ushahidi wa pesa zilizotumwa kutoka taifa hilo la [COLOR=#0000FF !important]Afrika[/COLOR] Mashariki kwa baadhi ya washukiwa nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Ripoti hiyo pia imelaumu kundi hilo la FDLR kwa kutotekeleza ahadi yao ya kusalimisha silaha na kujisalimisha kufikia Januari mwaka huu.
UN inasema kuwa FDLR wamewatuma wazee waliodhoofika kiafya pekee kujisalimisha na kukabidhi silaha chache sana ambazo zina hitilafu.
Kundi la FDLR, liliundwa mwaka wa 2000 na wahutu waliokimbilia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia mauaji ya kimbari ya [COLOR=#0000FF !important]Rwanda[/COLOR].
141001114235_drc_rebels_512x288_bbc_nocredit.jpg
Wapiganaji wa kundi la FDLRKundi hilo linapinga utawala wa kitutsi na ushawishi wake katika eneo la maziwa makuu.
Rwanda imekuwa ikitazama kundi hilo kama tisho kubwa kwa utawala uliopo na kwa kauli moja na Umoja wa mataifa imekuwa ikishinikiza kupokonywa silaha kwa wapiganaji wake.
Ripoti hiyo pia imetoa madai ya ubakaji na unyanyasaji wa kimapenzi unaofanywa na wanajeshi wa Burundi katika Kivu ya Kusini .
Wataalamu hao wa Umoja wa mataifa wamependekeza serikali za Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zifanyie uchunguzi madai hayo ambayo wanasisitiza yalifanywa namajeshiya Burundi pamoja na kikundi cha vijana wapiganaji wajulikanao kama Imbonerakure.
[/COLOR]
 
what a good luck to meet a man i know with a different user ID but I have neither the time nor the inclination to debate another JF idiot.!!

Hahaha...another jMali recruit. Karibu sana but for your information we started with him waaaay back. then he had the likes of Majeshi 1981, Mokala 1989 etc and all of them wamekata tamaa wakamuachia ukumbi. So, karibu sana lets see how long you will last.
 
Tanzania yakanusha ripoti kuhusu FDLR

Tanzania imekanusha vikali tuhuma kwamba imekuwa ikiwaruhusu viongozi wa kundi la waasi la FDLR kufanya mikutano nchini humo.

Hapo jana kulikuwa na taarifa ambazo zilitangazwa na vyombo mbali mbali vya habari duniani kuhusu ripoti mpya ya kundi la wataalamu wa umoja mataifa kuhusu Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwamba iilituhumu Tanzania kwa kuwaruhusu viongozi wa kundi la waasi FDLR kuandaa mikutano nchini humo.

Katika ripoti hiyo pia wanajeshi wa Burundi wanatuhumiwa kuwa walitekeleza unyanyasaji wa kingono.

Swali langu ni hili: Kama kwenye website ya serikali, Tanzania inawaita hawa waasi wa FDLR "freedom fighters" kwa nini inakanusha vikali report hii inayo watuhumu ku facilitate njama zao za ku overthrow a legitamate goverment? After all, they are "freedom fighters"...i would think they would be proud to be hosting "freedom fighters" kama walivyokuwa waki host ANC, SWAPO, FRELIMO, etc. Mwalimu hakuficha hilo.
 
Ahahahhaha, mzee wa sumu ulikuwa likizo? tema sumu tema sumu.
Vipi mumeshaenda msituni congo kuwafutulia mbali FDRL? ahahahh.
au mnatusubiri TZ tuwasindikize?
 
Tanzania yakanusha ripoti kuhusu FDLR

Tanzania imekanusha vikali tuhuma kwamba imekuwa ikiwaruhusu viongozi wa kundi la waasi la FDLR kufanya mikutano nchini humo.

Hapo jana kulikuwa na taarifa ambazo zilitangazwa na vyombo mbali mbali vya habari duniani kuhusu ripoti mpya ya kundi la wataalamu wa umoja mataifa kuhusu Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwamba iilituhumu Tanzania kwa kuwaruhusu viongozi wa kundi la waasi FDLR kuandaa mikutano nchini humo.

Katika ripoti hiyo pia wanajeshi wa Burundi wanatuhumiwa kuwa walitekeleza unyanyasaji wa kingono.

Swali langu ni hili: Kama kwenye website ya serikali, Tanzania inawaita hawa waasi wa FDLR "freedom fighters" kwa nini inakanusha vikali report hii inayo watuhumu ku facilitate njama zao za ku overthrow a legitamate goverment? After all, they are "freedom fighters"...i would think they would be proud to be hosting "freedom fighters" kama walivyokuwa waki host ANC, SWAPO, FRELIMO, etc. Mwalimu hakuficha hilo.

Hawa FDRL watawatoa kamasi tu. We jishauwe na mbwembwe za kitoto.
Sisi ni Desturi yetu kuwasaidia watu wanaopigania uhuru wao.
Pia watu wanaonyanyasa wenzao tuna wa wipe out kama Kagame........LOL
 
Back
Top Bottom