DR Congo and Rwanda's FDLR rebels: Why Tanzania could end up eating leftovers

DR Congo and Rwanda's FDLR rebels: Why Tanzania could end up eating leftovers

1. thibitisha japo mkutano mmoja tu ambapo walikuja usiku usiku. maana haiingii akilini kwa nini wasifanyie mikutano yao walikale ambapo wanaishi bila matatizo RIGHT NOW, halafu waje kufanyia mikutano yao Dar where they risk being arrested.
2. Niwe mtanzania au mchina we jibu hoja.

Don't need. Soma UN report.
 
UN report which you've been touting wrt M23 leo hii unawaponda kuwa hawasemi ukweli. Uelewekeje? Kuwa mwanaume mwenye msimamo.

Sijui unaangalia jamiiforum nyingine...hujaona serikali ya tanzania ikikana taarifa ya UN? ok labda wewe ni chongo.

Nimekuambia achana na hayo maneno "tuta..." you are a foreigner there hizo hela ulizotumia kununua uraia kuna siku watakugeuka tu.

umeshaanza "ubwenge" (deliberate culture of the tutsi to confuse matters....), naongelea specific allegations we unasema entire report.
 
umeshaanza "ubwenge" (deliberate culture of the tutsi to confuse matters....), naongelea specific allegations we unasema entire report.

Mbona ile iliyotoka kuhusu M23 uliiweka yote hapa ukajaza server za watu? Soma tu najua wewe una mda wa kutosha. Usiwe mvivu.
 
Mbona ile iliyotoka kuhusu M23 uliiweka yote hapa ukajaza server za watu? Soma tu najua wewe una mda wa kutosha. Usiwe mvivu.

anayetuhumu ndie anakuwa na burden ya kuthibitisha, mimi niliweka kwa sababu ndie niliyekuwa nadai, sikudai kijuu juu halafu nikawaambia mkatafute. Likewise, wewe unayetutuhumu unatakiwa ndie uweke ushahidi sio unipe mimi ninayepinga kazi ya kutafuta ushahidi wa upande wako wewe. You people have a funny way of debating i swear!
 
Hatuna haja ya kujaza servers here. Report ipo na wenye macho wataona. The rest is irrelevant.
 
Out of topic:

My question is:

Kama hawa ni "freedom fighters" as per Tanzanian goverment, kwa nini mnawakana vikali hivyo? Nyerere hakukana ANC, hakukana SWAPO, hakuwakana FRELIMO, on the contrary makaburu walikuwa wanajua kuwa Tanzania inawapa hifadhi. Sasa kwa nini sasa wawakane hawa "freedom fighters" wenu?

Mzee wa jenosaidi, nani kawakana, na kawakana kwa mantiki ipi?
 
Hatuna haja ya kujaza servers here. Report ipo na wenye macho wataona. The rest is irrelevant.

Mzee wa jenosaidi, Kwani hiyo server ni yako? au wenye nayo wamekwambia inakaribia kujaa watu tusipost?
Au huelewi maana ya server nini?
 
I wasn't interested at all with Rwanda before PK alivyosema atampiga rais wa Tanzania...from that day nakusanya data niwafahamu vizuri....

Naweza sema kwa kipindi kifupi nshawafahamu uzuri tu...na hii ya mwalimu inaongeza tu kwenye research yangu

eh Nyumbakubwa za siku? kumbe ujanja wote huo, vibaraka original hauwajui? ila kwa kukusaida tu ukae ukijuwa kibaraka number 1 juzijuzi alikuwa Paris kurudisha pesa chachu za kuwalinda FDLR
 
Rusha basi clip ya hayo maneno...tunaongea na data...
Otherwise inawezekana by then PK alikuwa hajaonyesha his true colours...lazima kwa sasa angemkana tu...

Wengi humu hatukuwa na mtazamo unaousoma hapa before PK aropoke...ni kiherehere cha PK wako kimetufumbua macho...

Before tulikuwa tuna rely kwenye info za nyie marketiers tu...

Sio angekuwa....he was a big time supporter of PK and RPF and openly called mabasha zako interahamwe,Mobutu and Habyarimana government THE MURDERER na 100% angekuwa mzima angewasafisha wote,na Mwalimu some days ago alipewa nishani ya juu kabisa Rwanda kwa mchango wake kwa Rwanda,na slow down hizo garbage mnazolisha watu humu,Rwanda inaenda mbele hairudi nyuma and you seem to be confused na sumu mlizokula...detox can help.
 
Hatuna haja ya kujaza servers here. Report ipo na wenye macho wataona. The rest is irrelevant.

wenye macho tumeshaona, tunashangaa nyie mmeona vipi kitu ambacho hakimo, hadi macho yenu yana ukabila!
 
I wasn't interested at all with Rwanda before PK alivyosema atampiga rais wa Tanzania...from that day nakusanya data niwafahamu vizuri....

Naweza sema kwa kipindi kifupi nshawafahamu uzuri tu...na hii ya mwalimu inaongeza tu kwenye research yangu
OK dada ila mi naona uendelee kukusanya Data lakini kwa uangalifu wa hali ya juu lasivyo zaweza kukudatisha! tena kama ndio unazitegemea kwa jMali na wale FDLR wanaoshinda na Mtikila pale magogoni halafu ukaja Rwanda kutembea basi unaweza hata ukazimia kwa butwaa... na kuhusu Kagame mi naona itabidi ukubaliane naye tu kwani moja ya tabia zake ni kutokenulia wanafiki au watu wakujipendekeza.
 
[h=3]DRC hails Tanzania on new TPA office in Lubumbashi[/h]
The government of the Democratic Republic of Congo (DRC) has described the decision of Tanzania to open a Tanzania Ports Authority (TPA) link office in Lubumbashi town, Katanga Province as a patriotic and progressive one.

Speaking to journalists after the inauguration of the office recently, Transport minister for Katanga Province, Kahozi Sumba said the decision will not only simplify things for DRC traders but also improve lives of the people of DRC.

"This office means a lot for the citizens of DRC, we thank the government of Tanzania for this noble decision," he said after the inauguration done by Tanzania Transport minister, Dr Harrison Mwakyembe.

Sumba said the DRC government is optimistic that problems encountered by the business community while using the Dar es Salaam port will be considerably reduced and ultimately finished.

He called upon DRC traders to prove that they needed the office by utilizing it to address challenges facing them, "prove that you really need this office, take this opportunity to your advantage," he told members of the business community who attended the function.

Speaking on behalf of the Governor of Katanga Province, Moise Katumbi Vice Governor of the Province, Yav Guilbert hailed Dr Mwakyembe, calling him ‘a man of actions'.

In his earlier visit to Lubumbashi March, this year Dr Mwakyembe promised a TPA liaison office by the end of April.

"Mwakyembe is not the kind of politicians who give empty promises…he has proved that Tanzania can bring together Africa and achieve development," Guilbert said.

Earlier, Mwakyembe said the new TPA office will help Congolese business community solve their quarries and problems in Lubumbashi instead of travelling all the way to Dar es Salaam.

"They will be able to make payments for port charges in Lubumbashi and avoid the risk of carrying large sums of money all the way to Dar es Salaam," the minister said.

He explained that the problem of being cheated by untrustworthy agents will now be history as the list of all registered clearing and forwarding agents will be made available in Lubumbashi.

He said cargo monitoring will also be done from Lubumbashi hence help speed up clearance as traders will have updated information on the status of their cargoes.

Mwakyembe travelled by road all the way from Dar es Salaam to Lubumbashi in order to experience the challenges facing the Congolese traders as they move their cargo from Dar es Salaam port.

The office in Lubumbashi seeks to solve several issues the Congolese business community has been complaining about including port delays, theft, non-tariff barriers along the corridor and unscrupulous clearing and forwarding agents.

"More efforts are underway to remove all obstacles and red tapes the DRC business community encounters," said Mwakyembe.

DRC is the second largest transit user of the Dar es Salaam port accounting for 25 percent of the total transit traffic.

DRC traffic has been increasing at an average of 24 percent per annum since 2004 from 155,611 tonnes up to 1,117,249 tonnes in 2013.

cc Jasusi, mchambawima1, nyumba kubwa, jMali
 
Last edited by a moderator:
Congs guy, nice move!!! na ninawaombea mungu, maslahi yatayopatikana huko yanufaishe watanzaniawote sio wahuni wachache, vilevile hao wacongoman msiwaaini sana maana ni vigeugeu ukitaka waulize wa Zimbabwe, waliwasaidia hadi siraha za mamilioni ya dola lakini mpaka leo wanawakebehi tu bila malipo...
 
..usikasirike sana.

..Kikwete aliyewabamiza anaondoka madarakani mwezi October.

..Rusumo bridge imeshamalizika, tunasubiri ule mradi wa umeme nao ukamilike.

..gharama za usafiri ktk central corridor ni nafuu kuliko zile za northern corridor.

..hamna namna zaidi ya ku-swallow your pride. Mtarudi tu hapa, mtake msitake.

NB:

..Majeshi yetu yapo kule kwa gharama za UN ambayo Rwanda ni mwanachama.

cc jMali
 
mi naona wacha tuwasiliane kesho hizo pombe zikishakutoka
 
..usikasirike sana.

..Kikwete aliyewabamiza anaondoka madarakani mwezi October.

..Rusumo bridge imeshamalizika, tunasubiri ule mradi wa umeme nao ukamilike.

..gharama za usafiri ktk central corridor ni nafuu kuliko zile za northern corridor.

..hamna namna zaidi ya ku-swallow your pride. Mtarudi tu hapa, mtake msitake.

NB:

..Majeshi yetu yapo kule kwa gharama za UN ambayo Rwanda ni mwanachama.

cc jMali

Swallow your pride my foot. Mli swallow pride tulivyowafungia mpaka mkashusha road toll mpaka dola 150, mka swallow pride tulivyowawekea visa ya business dola 100 mlizokuwa mna tucharge kuja kuchukua bidhaa zetu bandarini kesho yake mkaiondoa. juzi mme swallow pride kwa wakenya baada ya kuona mnawazingua. MMMMMhhhh..
 
..I dont think there is anything is wrong with that.

..wakati mwingine you have to compromise ili mambo yaweze kusonga mbele.

NB:

..suala la Kenya ni kwamba mambo yao ktk sekta ya utalii hayaendi vizuri. matokeo yake wameamua kutuhujumu wa-Tz kwa kuwa-harass watalii wanaokuja kututembelea. Tanzania ingeamua ku-retaliate basi sote tungekosa. Kwa msingi huo tumeamua kuwapuuza.
 
Back
Top Bottom