DR Congo and Rwanda's FDLR rebels: Why Tanzania could end up eating leftovers

It is not meant for you because wewe tunajua unajua. We want the ordinary Tanzanians waisome wajue wana support kikundi cha aina gani.

Hacha utoto. Wewe ndo umepewa majukumu ya kuwaelimisha Watanzania? yaani kweli unachekesha. Wewe umeishi Tanzania na unaijua vizuri. Sasa unataka kutufundisha nini wakati hata usalama wa Rwanda upo mikononi mwetu.
Mzee wa jenosaidi unajinyanyasa kisaikolojia....ahahahahahahaha
 
It is not meant for you because wewe tunajua unajua. We want the ordinary Tanzanians waisome wajue wana support kikundi cha aina gani.

ordinary tanzanians wanawakilishwa na serikali yao, waziri wa mambo ya nje ameshaelezea official definition ya FDLR according to us.
 
Tanzania yakanusha ripoti kuhusu FDLR

Tanzania imekanusha vikali tuhuma kwamba imekuwa ikiwaruhusu viongozi wa kundi la waasi la FDLR kufanya mikutano nchini humo.

Hapo jana kulikuwa na taarifa ambazo zilitangazwa na vyombo mbali mbali vya habari duniani kuhusu ripoti mpya ya kundi la wataalamu wa umoja mataifa kuhusu Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwamba iilituhumu Tanzania kwa kuwaruhusu viongozi wa kundi la waasi FDLR kuandaa mikutano nchini humo.

Katika ripoti hiyo pia wanajeshi wa Burundi wanatuhumiwa kuwa walitekeleza unyanyasaji wa kingono.

Swali langu ni hili: Kama kwenye website ya serikali, Tanzania inawaita hawa waasi wa FDLR "freedom fighters" kwa nini inakanusha vikali report hii inayo watuhumu ku facilitate njama zao za ku overthrow a legitamate goverment? After all, they are "freedom fighters"...i would think they would be proud to be hosting "freedom fighters" kama walivyokuwa waki host ANC, SWAPO, FRELIMO, etc. Mwalimu hakuficha hilo.

1. Toka uzaliwe umewahi kuona serikali inakuwa overthrown kwa mazungumzo as suggested and promoted by Tanzania?
2. Inawezekanaje serikali ya Tanzania iunge mkono FDLR kuweka silaha chini tena tukiwa tayari kuwanyang'anya kinguvu halafu useme tuna matatizo na Rwanda for that?
3. Waasi wa FDLR kufanya mikutano bongo sio tatizo as long as sio mikutano ya kutumia silaha katika malengo yao. RNC ni kundi la magaidi according to Rwanda, mbona wanaishi marekani na Rwanda hailalamiki?
 
Jana nimesikiliza kipindi cha hotuba za Mwalimu Nyerere...
Hiyo ilikuwa mwaka 1964 anazungumzia jinsi mataifa ya magharibi...akitaja kabisa US kui destabilize DRC...
Alikuwa anaongea kwa uchungu sana jinsi baadhi ya nchi za Afrika zinapokuwa upande wa wasoitakia mema DRC...

Alikuwa anaongelea jinsi wanavyochagulia waafrika viongozi (vibaraka) akawa anataja jina la Shombe...kuwa US wanataka Kongo itawaliwe na Shombe...sijajua kama Shombe ni jina au nusu point...

Afu kuna watu humu wanasema mwalimu angekuwa hai angekuwa upande wa PK...hakika hawakupata kumfahamu Mwalimu...

Sikujua pia kuwa US imeanza kuichokonoa DRC tokea early 60s...

Hivi kwa sasa bado tuna kiongozi wa kuwaambia hawa mataifa ya west ukweli ???ni nani ??? Bila ya kuangalia maslahi yake kwanza ????
 
teh teh teh ain't recruited person..
thanks for sharing your points of view. Good to know there are those who still stand for truth.

Hahaha watoto wa majengo mapya shy siasa za rwanda mnazijulia wap hahah, au pale old m... mlikua mnafundishwa international politics, hahah
 
fred mwasa you are obvious a troll, the difficult part is accepting the truth when lies are all you want to hear. Truth are easily ends all conflict, war, fear and hate.
Clairvoyant??? lol... he blasted you on twitter last time?I guess since then you are scared of anyone who sees your true colors!!! Listenyou Interahamwe name calling won't help you at all! never meet FredMwasa vis à vis except thefact that he is a fellow compatriot based on what he tweets all thetime but I also believe the guy can't speak Swahili the way I do, because;if I am not mistaken, Mwasa grew up in Uganda so you canimagine... Mazuka unless you clean up that pumpkin full of wrong infos,then you are going to have very hard time to cope with us (Hutus, Tutsis& Twas) who are enjoying the exemplary leadership in Rwanda led by HisExcellency President KAGAME.
 
eh Nyumbakubwa za siku? kumbe ujanja wote huo, vibaraka original hauwajui? ila kwa kukusaida tu ukae ukijuwa kibaraka number 1 juzijuzi alikuwa Paris kurudisha pesa chachu za kuwalinda FDLR
 
Afu kuna watu humu wanasema mwalimu angekuwa hai angekuwa upande wa PK...hakika hawakupata kumfahamu Mwalimu...

Sio angekuwa....he was a big time supporter of PK and RPF and openly called mabasha zako interahamwe,Mobutu and Habyarimana government THE MURDERER na 100% angekuwa mzima angewasafisha wote,na Mwalimu some days ago alipewa nishani ya juu kabisa Rwanda kwa mchango wake kwa Rwanda,na slow down hizo garbage mnazolisha watu humu,Rwanda inaenda mbele hairudi nyuma and you seem to be confused na sumu mlizokula...detox can help.
 
1. Toka uzaliwe umewahi kuona serikali inakuwa overthrown kwa mazungumzo as suggested and promoted by Tanzania?
2. Inawezekanaje serikali ya Tanzania iunge mkono FDLR kuweka silaha chini tena tukiwa tayari kuwanyang'anya kinguvu halafu useme tuna matatizo na Rwanda for that?
3. Waasi wa FDLR kufanya mikutano bongo sio tatizo as long as sio mikutano ya kutumia silaha katika malengo yao. RNC ni kundi la magaidi according to Rwanda, mbona wanaishi marekani na Rwanda hailalamiki?

Dream on...Kigali will never negotiate anything with FDLR,ni either surrender or....
 
kagame pia alimpa nishani similar to that ya mwalimu ndugu Paul rusesabagina wa "hotel rwanda" leo hii mnaimuitaje kama sio terrorist? there is no doubt mwalimu naye mngempakazia tu kama watutsi wenzenu wa Burundi walivyolalamika kuwa mwalimu anawapendelea wahutu mpaka mwalimu akasusa kuwasuluhisha!
 
kwamba kigali won't negotiate hilo tunafahamu....usilolijua ni usiku wa kiza.
 
Jana nimesikiliza kipindi cha hotuba za Mwalimu Nyerere...
Hiyo ilikuwa mwaka 1964 anazungumzia jinsi mataifa ya magharibi...akitaja kabisa US kui destabilize DRC...
Alikuwa anaongea kwa uchungu sana jinsi baadhi ya nchi za Afrika zinapokuwa upande wa wasoitakia mema DRC...

Alikuwa anaongelea jinsi wanavyochagulia waafrika viongozi (vibaraka) akawa anataja jina la Shombe...kuwa US wanataka Kongo itawaliwe na Shombe...sijajua kama Shombe ni jina au nusu point...

Afu kuna watu humu wanasema mwalimu angekuwa hai angekuwa upande wa PK...hakika hawakupata kumfahamu Mwalimu...

Sikujua pia kuwa US imeanza kuichokonoa DRC tokea early 60s...

Hivi kwa sasa bado tuna kiongozi wa kuwaambia hawa mataifa ya west ukweli ???ni nani ??? Bila ya kuangalia maslahi yake kwanza ????

...huyo atakuwa moise shombe.
...hapo kwenye kiongozi wa kuwaambia west ukweli tuna tatizo tena kubwa tu. Tatizo la viongozi wetu ni uadilifu, kila mtu ana masoo yake kibao ambayo anaweza kuwa kayaficha lakini CIA wanayajua. Hivyo hata akijitutumua watamuumbua tu kwa vitu alivyoharibu huko nyuma (blackmail). Mwalimu aliweza because he was clean. They had nothing on him.
 
1. Toka uzaliwe umewahi kuona serikali inakuwa overthrown kwa mazungumzo as suggested and promoted by Tanzania?
2. Inawezekanaje serikali ya Tanzania iunge mkono FDLR kuweka silaha chini tena tukiwa tayari kuwanyang'anya kinguvu halafu useme tuna matatizo na Rwanda for that?
3. Waasi wa FDLR kufanya mikutano bongo sio tatizo as long as sio mikutano ya kutumia silaha katika malengo yao. RNC ni kundi la magaidi according to Rwanda, mbona wanaishi marekani na Rwanda hailalamiki?

Out of topic:

My question is:

Kama hawa ni "freedom fighters" as per Tanzanian goverment, kwa nini mnawakana vikali hivyo? Nyerere hakukana ANC, hakukana SWAPO, hakuwakana FRELIMO, on the contrary makaburu walikuwa wanajua kuwa Tanzania inawapa hifadhi. Sasa kwa nini sasa wawakane hawa "freedom fighters" wenu?
 
kagame pia alimpa nishani similar to that ya mwalimu ndugu Paul rusesabagina wa "hotel rwanda" leo hii mnaimuitaje kama sio terrorist? there is no doubt mwalimu naye mngempakazia tu kama watutsi wenzenu wa Burundi walivyolalamika kuwa mwalimu anawapendelea wahutu mpaka mwalimu akasusa kuwasuluhisha!

Eti ndugu..ni ndugu yako kweli. BTTP. Hata Kayumba Nyamwasa alikuwa in good books halafu tamaa ikamponza. With Kagame its what can you do for the country...not what you did in the past. Mwalimu is held in high regard in Kigali unlike in his country where nasikia jamaa mmoja hata kutamka jina lake imekuwa vigumu.
 
ordinary tanzanians wanawakilishwa na serikali yao, waziri wa mambo ya nje ameshaelezea official definition ya FDLR according to us.

1. In red yes we know you recognize them as freedom fighters...sasa mbona wanakuja huko usiku usiku tu. Kwa nini msiwape red carpet halafu mkachapisha story zao magazetini?

2. In blue.... usijihesabu kama mtanzania. You will never be a tanzanian.
 
Eti ndugu..ni ndugu yako kweli. BTTP. Hata Kayumba Nyamwasa alikuwa in good books halafu tamaa ikamponza. With Kagame its what can you do for the country...not what you did in the past. Mwalimu is held in high regard in Kigali unlike in his country where nasikia jamaa mmoja hata kutamka jina lake imekuwa vigumu.

Kayumba nyamwasa alipewa nishani kama aliyopewa Rusesabagina na nyerere?
 
Out of topic:

My question is:

Kama hawa ni "freedom fighters" as per Tanzanian goverment, kwa nini mnawakana vikali hivyo? Nyerere hakukana ANC, hakukana SWAPO, hakuwakana FRELIMO, on the contrary makaburu walikuwa wanajua kuwa Tanzania inawapa hifadhi. Sasa kwa nini sasa wawakane hawa "freedom fighters" wenu?

hakuna mahali wamekanwa. tatizo ni kuwa mnayosema HAYAPO! Sio kweli kuwa kuna armed people kutoka FDLR hapa bongo, na sio kweli kuwa walio kwenye sanctioned lists wanakutana na viongozi wa serikali yetu kama mnavyodai. What is true ni kile tunachosema kuwa tunawaunga mkono katika peaceful negotiations. Ila muda unavyokwenda nadhani tutakasirika halafu tuwakaribishe kabisa waziwazi ili msipate tabu!
 
1. In red yes we know you recognize them as freedom fighters...sasa mbona wanakuja huko usiku usiku tu. Kwa nini msiwape red carpet halafu mkachapisha story zao magazetini?

2. In blue.... usijihesabu kama mtanzania. You will never be a tanzanian.

1. thibitisha japo mkutano mmoja tu ambapo walikuja usiku usiku. maana haiingii akilini kwa nini wasifanyie mikutano yao walikale ambapo wanaishi bila matatizo RIGHT NOW, halafu waje kufanyia mikutano yao Dar where they risk being arrested.
2. Niwe mtanzania au mchina we jibu hoja.
 
hakuna mahali wamekanwa. tatizo ni kuwa mnayosema HAYAPO! Sio kweli kuwa kuna armed people kutoka FDLR hapa bongo, na sio kweli kuwa walio kwenye sanctioned lists wanakutana na viongozi wa serikali yetu kama mnavyodai. What is true ni kile tunachosema kuwa tunawaunga mkono katika peaceful negotiations. Ila muda unavyokwenda nadhani tutakasirika halafu tuwakaribishe kabisa waziwazi ili msipate tabu!

UN report which you've been touting wrt M23 leo hii unawaponda kuwa hawasemi ukweli. Uelewekeje? Kuwa mwanaume mwenye msimamo.

Sijui unaangalia jamiiforum nyingine...hujaona serikali ya tanzania ikikana taarifa ya UN? ok labda wewe ni chongo.

Nimekuambia achana na hayo maneno "tuta..." you are a foreigner there hizo hela ulizotumia kununua uraia kuna siku watakugeuka tu.
 
Back
Top Bottom