Tulia na waombe mods wakurekebishie, aliyekupa habari mwambie atulie asikuchanganye.sorry, kwenye heading isomeke Bujari na sio Bujara. na anaongea na wananchi sio vyombo vya habari,
Kesho Dr Bujari anafanya mkutano mkubwa mjini Ngara! Kuwaeleza wananchi namana serikali yao ilivyo dhaifu na kuwa ukombozi pekee utatoka CHADEMA! Bujari aligombea Ubunge kwenye kinyanganyiro cha ndani ya ccccm 2010
note: tangu chitanda na mwenyekit wa singida wote std 7 na makamu said arfi ambaye ni f4, mpaka sasa madaktari 3 wameshajiunga chadema.
hwa ma dr. Ni wappumbavu baada ya kutumikia taaluma zao kwa maendeleo ya taifa, wao wanakimbilia kwenye siasa kwa ajiri ya tamaa zao za pesa na umaarufu kunuka, hawana lolote. Pia huyo angepata madaraka ccm usingesikia hizi pumba anazo ongea sasa ivi...
mapovu yanayokutoka mithili ya mgonjwa wa kifafa ni ishara kwamba ukombozi umekaribia .
KUMBE UNAJUA KWENYE SIASA KUNA PESA NYINGI KULIKO KWENYE TAALUMA. UPENDELEO HUU NDIO TUNAOUKATAA KWA WANASIASA.lllllaKumbeHwa ma Dr. ni wappumbavu baada ya kutumikia taaluma zao kwa maendeleo ya taifa, wao wanakimbilia kwenye siasa kwa ajiri ya tamaa zao za pesa na umaarufu kunuka, hawana lolote. Pia huyo angepata madaraka CCM usingesikia hizi pumba anazo ongea sasa ivi...
Kesho Dr Bujari anafanya mkutano mkubwa mjini Ngara! Kuwaeleza wananchi namana serikali yao ilivyo dhaifu na kuwa ukombozi pekee utatoka CHADEMA! Bujari aligombea Ubunge kwenye kinyanganyiro cha ndani ya ccccm 2010
note: tangu chitanda na mwenyekit wa singida wote std 7 na makamu said arfi ambaye ni f4, mpaka sasa madaktari 3 wameshajiunga chadema.
Hwa ma Dr. ni wappumbavu baada ya kutumikia taaluma zao kwa maendeleo ya taifa, wao wanakimbilia kwenye siasa kwa ajiri ya tamaa zao za pesa na umaarufu kunuka, hawana lolote. Pia huyo angepata madaraka CCM usingesikia hizi pumba anazo ongea sasa ivi...
Huyu jamaa hana jipya, mimi ni mkazi wa Ngara na nimemjua huyu jamaa toka ameanza harakati zake kupitia CCM. Uchaguzi wa mwaka 2010 akiwa CCM alihonga sana vijana na kina mama pesa na simu ili ashinde kura za maoni, nakumbuka wakati huo alikuwa na project fulani aliyokuwa anaifanyia kupitia wafadhili aliitumia kama njia ya kujipigia debe lakini matokeo yake akashindwa na Ntukamazina. Baada ya kuanguka kwenye kura za CCM aliungana na wenzake walioanguka kama lugumya mheto kumpiga vita Ntukamazina ili jimbo lichukuliwe na NCCR, wakati huo mimi nilikuwa mmoja ya waliokuwa wakimnadi mgombea wa NCCR Sam Ruhuza kwa hiyo nilikuwa naona kila kitu walichokuwa wanafanya ku-sabotage kampeni ya chama chao. Aliebaki upande wa Ntukamazina alikuwa Alex Gashaza ambaye alimpigia kampeni jamaa hata wakati alipougua na kwenda kutibiwa India mwezi wa mwisho wa kampeni. Kilichotokea sasa hivi wananchi wengi wa Ngara wanamuona Alex Gashaza ndiye anafaa kuwa mrithi wa Ntunkamazina 2015 jamaa kaamua kukimbilia CHADEMA. Wasijione wamelamba dume, hilo ni galasa. Kama kweli wanalitaka hili jimbo CHADEMA nadhani watafute mtu anaeuzika kwa vijana na watu wa vijijini ambao ndio idadi kubwa ya wapiga kura, la sivyo CCM watatawala milele.
Ukombozi upi?
Hwa ma Dr. ni wappumbavu baada ya kutumikia taaluma zao kwa maendeleo ya taifa, wao wanakimbilia kwenye siasa kwa ajiri ya tamaa zao za pesa na umaarufu kunuka, hawana lolote. Pia huyo angepata madaraka CCM usingesikia hizi pumba anazo ongea sasa ivi...
ule ukombozi mkubwa kupita wote duniani , wa kuing'oa ccm na makandokando yake madarakani .
KUMBE UNAJUA KWENYE SIASA KUNA PESA NYINGI KULIKO KWENYE TAALUMA. UPENDELEO HUU NDIO TUNAOUKATAA KWA WANASIASA.lllllaKumbe
utafungwa ndugu yangu..mbona kuna Dr pale magogoni kazi yake kusafiri tu