Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Huyu mzee ana cheo pale UDOM,yeye na Nzee NKAPASijakuelewa
Huyu mzee ana cheo pale UDOM,yeye na Nzee NKAPASijakuelewa
huyu babu akiongeaga huwa nahisi muda wowote anadondoka chini na roho inaacha mwili!!!!too damn old with that sick vibrating tone....enjoy your pension old man.
​Ceremonial LIDAtoothless DOG.
kwanza hao walibdilisha mitahara ya elimuu,commerce n bookiping tangu liniKipi kilichomshinda kuendesha nchi kisayansi kama Makamu wa Rais hadi asubiri kuwa Rais ndiyo atumie hiyo sayansi yake kuendesha nchi? Na hii sayansi yenyewe anayozungumzia ni sayansi ipi?
Utiriri wa wagombea Urais toka chma Tawala ni ishara mbaya kwa Taifa!! Nafikiri this year CCM itakuwa wanataka kuvunja record ..................... Hata USA na ukubwa wa ile nchi hawatatufukia kwa UTITIRI wa wagombea!
So far:
- Lowasa
- Wasira
- Mwigulu
- Muhongo
- Nyerere
- Ngeleja
- Yule Kijana
- Mwandosya
- Sitta
- Bilali
- Yule Mama Balozi
- Karume
- Magufuli
Tunasubiri
- Makamba
- Membe
- Pinda
- Kigwangalla
Nafikir wengine nimewasahau ...................!!
Ni kweli umesahau tena umemsahau mtu muhimu sana ASUMPTA MSHAMA
Alipotakiwa kuwatoa hofu watu wanaodhani kuwa ana mitazamo ya kihafidhina, Dk Bilal alisema yeye ni mwanasayansi na siku zote sayansi inabadilika kulingana na mazingira.
Hakuna uamuzi uliokuwa sahihi zaidi ya uamuziwa kisayansi. Mimi siku zote uamuzi wangu unafuata utaratibu huo, ndivyo nilivyolelewa na kufunzwa na nitaendelea kuongozwa kisayansi, alisema.
Chanzo: Mwananchi
Ni kweli umesahau tena umemsahau mtu muhimu sana ASUMPTA MSHAMA
Mhhh...
Huyu mwanasayansi amenifanya nijiulize swali hili. Kwanini tuna makamu wa raisi?!!!!
Utiriri wa wagombea Urais toka chma Tawala ni ishara mbaya kwa Taifa!! Nafikiri this year CCM itakuwa wanataka kuvunja record ..................... Hata USA na ukubwa wa ile nchi hawatatufukia kwa UTITIRI wa wagombea!
So far:
- Lowasa
- Wasira
- Mwigulu
- Muhongo
- Nyerere
- Ngeleja
- Yule Kijana
- Mwandosya
- Sitta
- Bilali
- Yule Mama Balozi
- Karume
- Magufuli
Tunasubiri
- Makamba
- Membe
- Pinda
- Kigwangalla
Nafikir wengine nimewasahau ...................!!
Unaaandika km Shangazi mpika maandazi.
Unataka utajiwe kimoja kimoja alichokifanya Nchi hii? We muhutu au?
Km ni Mtanzania Basi lzm utajua Mchango wake. Muulize muajiri wako Atakupa ripoti za Huyu Dr.
Galatia wahed!