Dr. Bilal: Nitaongoza nchi kisayansi

Dr. Bilal: Nitaongoza nchi kisayansi

Mzee kaamua alikuwa anabaniwa fursa sasa anataka ashike usukani mwnyw
 
He is the second person from top, why can't do all these. Huu ni ubabaishaji. Kimemshinda nini kufanya akiwa hapo kwa miaka kumi? Huyu anaongeza genge tu

Why was he rejected in his own country?
 
Hapo ndipo ninapochoka mimi kuhusiana na hawa viongozi waliko ccm wanaotaka nafasi ya urais wa nchi hii,kila mmoja anasema atafanya hili au lile na kuboresha kama si kubadilisha kabisa maisha ya watanzania,sasa inakuwaje watu hawa hawa ambao wamekuwa viongozi miaka nenda miaka rudi ndani ya ccm hawakufanya hayo wanayoyaona ni mazuri ili hali wapinzani wakiwa wanapiga kelele kuhusu hayo hayo huwa wanawadharau,wanawakebehi, sometimes wanapigwa na vitisho vya kila namna,inakuwaje waje sasa na kuahidi kufanya hayo mambo?nashindwa kabisa kuelewa,wameshindwa vipi kufanya hayo wanayoahidi wakiwa kwenye ccm yao?mangapi wametuahidi hawa watu?ina maana watanzania ni wajinga kiasi hiki?ina maana watanzania ni wasahaulifu kiasi hiki?
Huwezi kuiongoza nchi kwa kuifanyia majaribio kila siku, na huwezi kutatua tatizo kwa akili ile ile iliyosababisha tatizo lenyewe,watanzania tuamkeni...the TIME IS NOW!!
 
Utiriri wa wagombea Urais toka chma Tawala ni ishara mbaya kwa Taifa!! Nafikiri this year CCM itakuwa wanataka kuvunja record ..................... Hata USA na ukubwa wa ile nchi hawatatufukia kwa UTITIRI wa wagombea!

So far:
  1. Lowasa
  2. Wasira
  3. Mwigulu
  4. Muhongo
  5. Nyerere
  6. Ngeleja
  7. Yule Kijana
  8. Mwandosya
  9. Sitta
  10. Bilali
  11. Yule Mama Balozi
  12. Karume
  13. Magufuli

Tunasubiri
  1. Makamba
  2. Membe
  3. Pinda
  4. Kigwangalla

Nafikir wengine nimewasahau ...................!!
 
Utiriri wa wagombea Urais toka chma Tawala ni ishara mbaya kwa Taifa!! Nafikiri this year CCM itakuwa wanataka kuvunja record ..................... Hata USA na ukubwa wa ile nchi hawatatufukia!!

kwann mkuu??
 
Ila napenda wanavyo funguka! Pole yako Kikwete, utafhani hukuwa na wasaidizi au nawewe ingekuwa inawezekana kugombea ungefunguka kama hukuwepo vile miaka 10 iliyopita?

CCM mna bahati midanganyika haijielewi. Kuwaondoa kusinge hitaji miujiza. Sijui wanakula wali wa wapi hawa!

Pamoja na mapungufu yote tena yanayo endelea kuwekwa wazi na watendaji wakuu wa serikali na chama bado mshinde hata mkiiba?

Tutahitaji INVESTIGATOR WA MASWALA YA UELEWA WA WATANZANIA!!!

Pamoja na kwamba tambwe hizo bado ni porojo, CCM si wajinga kiasi hicho, jeuri imweanza kupungua na hii ni kwa sababu wanaona upepo unako elekea siko. Midanganyika ikiongeza uelewa mbona CCM wenyewe wataeleweka tuuu!?!!
 
Kaaaaaaaaaaaa shida sana, haya huyu??????????????? Huyuuuuuuuu????????????????????????. Haya bana hakuna mbaya, si mmeona Watanzania si mmewaona kuku?
 
Huyo babu akapumzike,ni kama Nkurunzinza kumbe wako wengi.pia yuko hadi sasa kwenye ofisi hiyohiyo mbona sayansi hatumii au anamwogopa kikwete kutumia hiyo sayansi.
 
Back
Top Bottom