Tahariri yenye Taharuri
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 416
- 499
Na wewe ndio unahali mbaya zaidi, kutokumwona Mungu wakoYaani Wana kanisa, sinagogi na msikiti wameficha habari za Mungu wa Kiafrika.....!
Hii sasa sio demokrasia hata kidogo.
Demokrasia ya kweli, Mungu wote wajitokeze na kunadi sera zao, sisi ndio tuchague wa kumwabudu.
Huyo Mungu wa Ki- Afrika anaonekana ni dhaifu sana kwakuwa.
Anafichwa na yeye anakubali kufichika.
Anafichwa na binadamu na ana itikia kifungo ?
Ata pata taabu saana.
na ndio sababu uungu umeyachagua mambo yaliyopuuzwa, na kukataliwa na watu, mambo yaliyodharauliwa na kudunishwa kujidhihirisha...upumbavu wa Mungu una akili kuliko wanadamu...na jiwe walilolikataa waashii, hakika limefanywa jiWe kuu la msingi....Piramidi la gizeh, na simba wa Yuda unamjua ni na ni???? SphinxKumbe Waafrika tuna Mungu wetu, tofauti na huyo wa wenzetu.
Naona hata wanaobisha kuwa hakuna Mungu mada hii wameikubali.
Sasa si wangesema tu kuwa wanamtambua huyu Mungu wa Waafrika.
Kinachosumbua huyu Mungu wa waafrika kajificha sana, habari zake hazipatikani ki urahisi, mpaka uwe msomi sana ndo ujue habari zake.
Sasa sisi watu wa chini tutapataje kujua habari zake, sisi ambao kiingereza hatukijui wala kisomo cha chuo.
Mwenye kuweza kusaidia ili tumwelewe huyu Mungu wa Waafrika tafadhali atusaidie.
Yaani kupata Bible yake, ili nasisi tuisome tupate maarifa kama ya wenzetu.
Tunahitaji sana kumtambua huyu Mungu wetu Waafrika.
Msaada tafadhali.
na ndio sababu uungu umeyachagua mambo yaliyopuuzwa, na kukataliwa na watu, mambo yaliyodharauliwa na kudunishwa kujidhihirisha...upumbavu wa Mungu una akili kuliko wanadamu...na jiwe walilolikataa waashii, hakika limefanywa jiWe kuu la msingi....Piramidi la gizeh, na simba wa Yuda unamjua ni na ni???? SphinxYaani Wana kanisa, sinagogi na msikiti wameficha habari za Mungu wa Kiafrika.....!
Hii sasa sio demokrasia hata kidogo.
Demokrasia ya kweli, Mungu wote wajitokeze na kunadi sera zao, sisi ndio tuchague wa kumwabudu.
Huyo Mungu wa Ki- Afrika anaonekana ni dhaifu sana kwakuwa.
Anafichwa na yeye anakubali kufichika.
Anafichwa na binadamu na ana itikia kifungo ?
Ata pata taabu saana.
Embu nielimishe hiiMimi ni mkatoriki tena Proudly Catholic. Tatizo shida inakuja moja dhana ya dini waAfrica tumeipokea vibaya mnoo na kujifanya wajuaji zaidi. Ndio maana ni rahisi kumvua nguo mlokole kama unajua biblia japo kidogo
Kwa mujibu wa biblia zipo tatu. Ya tatu ndipo maskani ya Mungu.hapo hpo inasema " mungu kaumba mbingu 7,na ardhi" ajabu", waumini wake wanakazania kusema mbingu niile rangi ya blue ya jua iliyopo angani
hahaaa " sasa " hauoni kuwa haya "mambo "yana confuse" kila muumini akianza "kusimamia "Maandiko ya dini yake" hata huyo "mungu siatabaki anashangaaKwa mujibu wa biblia zipo tatu. Ya tatu ndipo maskani ya Mungu.
ni muda wa kurejea imani yetu ya asiliBado nipo njia panda sijui niamini upi ukweli mkuu
Maana wazungu wametuaminisha kila kitu
Ila salutee kwako
hamna kitu, ukristo, uislamu, kwisha habari yakehahaaa " sasa " hauoni kuwa haya "mambo "yana confuse" kila muumini akianza "kusimamia "Maandiko ya dini yake" hata huyo "mungu siatabaki anashangaa
katoliki ndio kwisha kabisa, papa anawaficha mapadre walawiti, na wanajisi, vijana na watotoEmbu nielimishe hii
Wako anasemaje kwani isijekuwa anatafutwa na huyu wangu ahukumiwe huyohahaaa " sasa " hauoni kuwa haya "mambo "yana confuse" kila muumini akianza "kusimamia "Maandiko ya dini yake" hata huyo "mungu siatabaki anashangaa
Ktk ukristo wakatoriki wanataratibu zao ambazo huwa hazina msingi wa ukristo yaani hakuna Kibibliakatoliki ndio kwisha kabisa, papa anawaficha mapadre walawiti, na wanajisi, vijana na watoto
Ibada moyoni mwako, wala mungu si mbaguzi, wala muuza binadamu, kama watumwa, afanyaye hivyo ni ibilisiMada fikirishi
Unaanza kuja vizuri mbogoKuna historia ya bara la afrika na historia ya waafrika kama jamii ambayo ndiyo sisi.
Asante sana NduguKtk ukristo wakatoriki wanataratibu zao ambazo huwa hazina msingi wa ukristo yaani hakuna Kibiblia
Mungu gani????Wako anasemaje kwani isijekuwa anatafutwa na huyu wangu ahukumiwe huyo
afadhali yako weweBado nipo njia panda sijui niamini upi ukweli mkuu
Maana wazungu wametuaminisha kila kitu
Ila salutee kwako