Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Dr.Ben Jochannan: Mtu Mweusi,Amka

Yaani Wana kanisa, sinagogi na msikiti wameficha habari za Mungu wa Kiafrika.....!
Hii sasa sio demokrasia hata kidogo.
Demokrasia ya kweli, Mungu wote wajitokeze na kunadi sera zao, sisi ndio tuchague wa kumwabudu.
Huyo Mungu wa Ki- Afrika anaonekana ni dhaifu sana kwakuwa.
Anafichwa na yeye anakubali kufichika.
Anafichwa na binadamu na ana itikia kifungo ?
Ata pata taabu saana.
Na wewe ndio unahali mbaya zaidi, kutokumwona Mungu wako
 
Kumbe Waafrika tuna Mungu wetu, tofauti na huyo wa wenzetu.
Naona hata wanaobisha kuwa hakuna Mungu mada hii wameikubali.
Sasa si wangesema tu kuwa wanamtambua huyu Mungu wa Waafrika.
Kinachosumbua huyu Mungu wa waafrika kajificha sana, habari zake hazipatikani ki urahisi, mpaka uwe msomi sana ndo ujue habari zake.
Sasa sisi watu wa chini tutapataje kujua habari zake, sisi ambao kiingereza hatukijui wala kisomo cha chuo.
Mwenye kuweza kusaidia ili tumwelewe huyu Mungu wa Waafrika tafadhali atusaidie.
Yaani kupata Bible yake, ili nasisi tuisome tupate maarifa kama ya wenzetu.
Tunahitaji sana kumtambua huyu Mungu wetu Waafrika.
Msaada tafadhali.
na ndio sababu uungu umeyachagua mambo yaliyopuuzwa, na kukataliwa na watu, mambo yaliyodharauliwa na kudunishwa kujidhihirisha...upumbavu wa Mungu una akili kuliko wanadamu...na jiwe walilolikataa waashii, hakika limefanywa jiWe kuu la msingi....Piramidi la gizeh, na simba wa Yuda unamjua ni na ni???? Sphinx
majina yamebadilishwa,lakini ni hadithi yako mwenyewe
 
Back
Top Bottom