sijasema hajui bilal alimfundisha nini isipokuwa nimekwambia nitamfatilia ili nijue views zake kuhusu bilal na mchango wake kwenye unaoitwa uislam(ndio maana nikakwambia ni subject ya siku nyingine)Sasa kama jambo dogo kama hilo halijui,amebobea katika nini au nimjue ili iweje na atanisaidia nini zaidi chif ?
Unajua kuna watu wa kuwafuatilia watu ambao daima wamesimama katika misingi ya elimu na ukweli mtupu.
Na ndiyo tukubaliane kuwa Dini zimeletwa na baadhi ya watu kwa malengo fulani wanayoyatumia kutuendesha wanavyotaka wao.Tatizo huwezi kupata ukweli halisi na ukamilifu wa mambo nje ya dini.
Origin ya dini ndio haieleweki kabisa sababu njia wazitumiazo wao zimejengeka katika dhana,wasi wasi na mashaka tele.
Asante kwa mawaidha mazuriNaongezea.
Wakristo nawaombeni muwe mnapunguza jazba inapokuja hoja ya Qur an na mafundisho yake, msiwe mnafyatua tu nakuona hiki kitabu hakina maana yoyote sawa tu na vitabu vyengine vya hadithi za kitoto, maana namna unavyokiporomoa ubora hata hadithi za juzi kutoka Shaban Robert unaonekana inazikweza kulinganisha na Qur an, la hasha hivyo sivyo kabisa.
Nawaombeni kabla ya kuporomoa zarau hebu katafuteni tafsiri ya Qur an halafu muisome anhalau ile sura moja na mzingatie haswa kwa umakini mliojaaliwa na uyo Jehova wenu halafu ndio mje muanze kutoa hizo zarau zenu, mnajua mnatia kinyaa mnapokua mnatoa mijineno mibaya mibaya dhidi ya Qur an, wakati hamfahamu chochote hata katika hiyo biblia yenu hamkai mkaisoma kwa mazingatio. Wengi wenu mnasomewa mnapokuwa kanisani tu, na dini na imani mlonayo inakuwa ya kishabi shabiki zaidi dhidi ya uislamu na sio kimsimamo zaidi ili kuimarisha matendo yenu kiimani.
TANBIHI;
KABLA HAMJAA IPONDA QUR AN ISOMENI KWANZA, MBONA WAISLAMU HAWABWABWAJI BWABWAJI MIJINENO YA CHUKI DHIDI YA BIBLE. MNAKERA NA MNATIA KICHEFUCHEFU NA DHARAU ZENU.
Wanachoamini waislamu kuwa Bible ni maneno ya Mungu lakini tayari imeshaharibiwa na wanaadamu kwa kuwekewe mambo mengine ambayo hayakuwepo hapo kabla. Naomba kuwasilisha.
Ni kweliJapo sina maana ya kukashifu ndiyo maana kuna vitu watu vinatupa mkanganyiko sanaa ukisikiliza chimbuko la mwanadamu na maendeleo yake baada ya uumbaji katika muktadha wa hizi dini mbili mambo huwa tofauti kabisa hii ya lslamic huwa nashindwa kuielewa kabisa huwa hainipi mwanga sahihi ndiyo inafika hatua watu kuziona hizi dini zina TATIZO.
Na kauli yenye nguvu ni kuwa hapakuwa na kiumbe chochte kilicho ishi haya duniani kabla ya Adamu.
Asante NduguMkuu Zurri, hicho unachojitahidi kukitetea kipo kiimani zaidi kuliko uhalisia. Maana Maandiko matakatifu iwe biblia au Qur'an msomaji anatakiwa kuamini au asiamini. Ndio maana kina Kiranga hawaamini.
Alichokisema huyo mhadhiri kwenye kongamano ni ukweli ambao umefichwa katika historia ambayo imeficha ukweli na kuandikwa uongo. Mada inaelezea historia na mambo ambayo waafrika walipita, na uhahidi umewekwa. Huyo Dr kama alivyosema anaitwa mtata ana hoja zenye mashiko kabisa.
Tuache tabia za kufia dini.
Kwa mujibu wa biblia binadamu amekuwepo duniani kwa miska 6000Ngoja nikupe faida za kielimu. Kwanza ujue kabisa hao ambao unawasemea kwamba huwa tunashindwa kuwapa majibu sababu hawataki tujadili mambo haya kielimu.
Katika mijadala ya kielimu au mambo ya kielimu,kuna wakati huwa kuna kuwa na kauli zaidi ya moja,na katika kauli hizo iko au ipo kauli yenye nguvu. Na kauli yenye nguvu ndio huchukuliwa na kuifanya hoja yenye nguvu.
Historia ya uumbwaji wa mbingu na ardhiiko wazi kwa yeyote mwenye kutaka kuijua.
Na kauli yenye nguvu ni kuwa hapakuwa na kiumbe chochte kilicho ishi haya duniani kabla ya Adamu.
Mimi nataka logical consistency na sitaki uongo.Mkuu Zurri, hicho unachojitahidi kukitetea kipo kiimani zaidi kuliko uhalisia. Maana Maandiko matakatifu iwe biblia au Qur'an msomaji anatakiwa kuamini au asiamini. Ndio maana kina Kiranga hawaamini.
Alichokisema huyo mhadhiri kwenye kongamano ni ukweli ambao umefichwa katika historia ambayo imeficha ukweli na kuandikwa uongo. Mada inaelezea historia na mambo ambayo waafrika walipita, na uhahidi umewekwa. Huyo Dr kama alivyosema anaitwa mtata ana hoja zenye mashiko kabisa.
Tuache tabia za kufia dini.
Jiongeze kifikra, mbona mbunifu wa soca ni muingereza, lakini mabingwa sasa ni Brazil????Hizi stori za mtu mweusi kuwa eti ndio mwenye power na ndie wa kwanza kustaarabika nashindwa kuzielewa ...! Ilikuaje sasa hao wazungu wakatuzidi ujanja mpaka kufikia hatua ya kubadilisha historia? Inakuaje mtu mwenye power anakua mtumwa kwa mtu dhaifu? Kama kweli sisi ndio tulipaswa kuwa binadamu first class inakuaje tumekua low class?
Kuna kituo, na walimu kenya na uganda....tuko pamoja, swallow ni je make wanajamii forum yao??????Hivi kenya,Nigeria,Uganda,Togo,Cameroon,South Africa,Ghana na Msumbiji. Nao wanajiuliza maswali kama sisi Wa Tanzania kuusu Dini na Historia yetu pamoja nakujikombowa Africa.
Aiseee....!Jiongeze kifikra, mbona mbunifu wa soca ni muingereza, lakini mabingwa sasa ni Brazil????
Mfano Mimi huwezi kuniambia kuna majini wazuri na wabaya au malaika walitumwa kuja kuangamiza majini duniani wakakuta kajini kadogo ndiyo baadae akaja kuwa shetani kwa kushindwa kumsujudu mwanadamu. Upande wa pili shetani alikuwa malaika mtakatifu na akahasi na alifukuzwa yeye na malaika alioshawishi mbinguni. Ndiyo kuja kumkuta Adam na Hawa na kuwadanganya. Ndiyo maana nasema hizi contradictions ndiyo zinapelekea kuleta ugumu wa kuamini mwanzo wa Adam na hawa.
Wameficha habari zake, sinagogi, kanisa na msikiti, wakizitoa tu watazama, na sasa wana zama kwani zinatokawaafrika kajificha sa
Yaani Wana kanisa, sinagogi na msikiti wameficha habari za Mungu wa Kiafrika.....!Wameficha habari zake, sinagogi, kanisa na msikiti, wakizitoa tu watazama, na sasa wana zama kwani zinatoka
Mungu kamwe hatajulikana na mwanadamuYaani Wana kanisa, sinagogi na msikiti wameficha habari za Mungu wa Kiafrika.....!
Hii sasa sio demokrasia hata kidogo.
Demokrasia ya kweli, Mungu wote wajitokeze na kunadi sera zao, sisi ndio tuchague wa kumwabudu.
Huyo Mungu wa Ki- Afrika anaonekana ni dhaifu sana kwakuwa.
Anafichwa na yeye anakubali kufichika.
Anafichwa na binadamu na ana itikia kifungo ?
Ata pata taabu saana.