Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
Uislamu, ujudism, ukiristo, urasta, vyote chaka LA wayahudi
Imani ya kweli ni ile ya asilia ya babu, Bibi na wahenga wako.....unaabudu mizimu ya wenzio, haikusaidii lolote, ona ndio umegeuzwa shamba LA bibi, mkia wa ustaarabu duniani kwa kutupa vya kwako, na wakati wewe MTU mweusi ni kichwa