SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Daah! Sijui ndo kukosa kujiamini ama ni nini. nilikuwa naangalia KTN TV taarifa ya habari ya saa 3 usiku leo (4/4/2013) wakati Mhe. Dr. Baloz Batilda akimpa mkono Naibu Raisi wa Kenya Mhe. Ruto akaangusha na Shikamoo daah! nilichoka hivi kweli Batilda ni wa kumpa Shikamoo Ruto? au ndo confidence ilipotea kabisa. Mama jiamini wewe Dr wa PhD unaogopa namna hiyo??
Update:
Update:
Batilda amezaliwa 19/10/1965 wakti Ruto 21/12/1966 imekaaje hapo? wewe waweza kumsalimia Shikamoo mdogo wako? mama Confidence ZERO