johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,638
- Thread starter
-
- #41
Ufipa wamedumaa!You heard it now!
Hii ndio Demokrasia ya ukweli Chamani. Mambo yanawekwa bayana.
Sio huko mnakofuga misukule, ukihoji au kutoa Kauli kama hii nina Hakika pasi na na shaka Dr. Mashinji angetoweka mchana kweupeee!
Mkuu unajivunia kauli ya kuonyesha kuwa matapeli,walaghai na waongo mmejaa huko? Pathetic!You heard it now!
Hii ndio Demokrasia ya ukweli Chamani. Mambo yanawekwa bayana.
Sio huko mnakofuga misukule, ukihoji au kutoa Kauli kama hii nina Hakika pasi na na shaka Dr. Mashinji angetoweka mchana kweupeee!
Kupita maelezo mkuu. Kwashiorkor ya Ubongo sio gonjwa la mchezo mchezo.Ufipa wamedumaa!
Wewe unajivunia kipi mkuu!?Mkuu unajivunia kauli ya kuonyesha kuwa matapeli,walaghai na waongo mmejaa huko? Pathetic!
Nadhani ataongelea ya kuchakata.hehehe.Siku sio nyingi atasema mitambo ya kuiba kura iko ccm.
Matapeli wamefichama Ufipa!Mkuu unajivunia kauli ya kuonyesha kuwa matapeli,walaghai na waongo mmejaa huko? Pathetic!
Lakini kununua wapinzani na kurudia uchaguzi sasa tu.Dr Bashiru amesema ahadi kuu ya mwana CCM ni kusema ukweli daima lakini kwa Sasa Mitambo ya uongo CCM inatisha.
Source: Clouds 360!
Tunamsubiri Mashinji naye aseme kama nako wapoMatapeli wamefichama Ufipa!
Tunaandaliwa kwa muvi mpya next week....Dr Bashiru amesema ahadi kuu ya mwana CCM ni kusema ukweli daima lakini kwa Sasa Mitambo ya uongo CCM inatisha.
Source: Clouds 360!
Wewe unaamini Mbowe siyo MNYASA?!!Waliodanganya Magu ni msukuma walifanikiwa
Atasemea wapi wakati amefungwa mdomo!Tunamsubiri Mashinji naye aseme kama nako wapo
We do umedumaa mwili na akili kwa ujumla.Hili ni jambo la kubadilika wala sio la kujisifu kama unavofanya.badilikeni acha wizi na uongo Tendeni haki wauaji ninyiKupita maelezo mkuu. Kwashiorkor ya Ubongo sio gonjwa la mchezo mchezo.
Hahahaaaaa CCM mpya Haina maigizoTunaandaliwa kwa muvi mpya next week....
Jr[emoji769]
La akina Salary slip?
Vipi kuhusu mitambo ya kuiba kura atalizungumzia lini?Ufipa wamedumaa!
Kwashiorkor ya Ubongo inakutafuna kamanda! Zinduka..We do umedumaa mwili na akili kwa ujumla.Hili ni jambo la kubadilika wala sio la kujisifu kama unavofanya.badilikeni acha wizi na uongo Tendeni haki wauaji ninyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru gani wewe?! Labda kuwaongelea wengine sio mwamba unaosagwa kokotoHuu tuna Uhuru wa kuongea siyo kama hapo Ufipa
Mkuu bora maana wewe ubongo wako umeliwa tayari na cancer.wahi tiba mapema maana nyekundu unaona kijani.Amka amka amka tumia akili yako vizuri.Kauli ya Bashiru sio ya kisiasa,inatakiwa kufanyiwa kazi.sio kila kitu unaingiza siasaKwashiorkor ya Ubongo inakutafuna kamanda! Zinduka..