johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,636
HA HA HA HA UWIII MBAVU ZANGU MIE😀😀😀😀Dr Bashiru amesema ahadi kuu ya mwanaccm ni kusema ukweli daima lakini Kwa Sasa Mitambo ya uongo CCM inatisha. Source Clouds 360!
Huu tuna Uhuru wa kuongea siyo kama hapo UfipaI see, didn't expect to hear that from the General Secretary of CCM
Ndiyo huo uhuru wa kusema uongo unaosemwa na Katibu Mkuu?Huu tuna Uhuru wa kuongea siyo kama hapo Ufipa
Coco huwezi kumuona hapa Leo, mumewe Bashite hali siyo hali.Hahahaaa nangoja comments za Wanaccm cocochanel njoo huku..
UHURU huo umepitiliza mipaka,Kuna mengine ya kuongea ndani ya CCM sio public.Katibu mkuu kama kweli kayasema hayo alitakiwa kuyasema ndani ya VIKAO au mikutano ya ndani ya CCM kama yapo sio kwenye publicHuu tuna Uhuru wa kuongea siyo kama hapo Ufipa
Contena pia inasemekana kuwa ni zake
Uhuru wa kuongea uongo,majungu na fitina?Huu tuna Uhuru wa kuongea siyo kama hapo Ufipa