yupo anabeba mikoba ya jangili mwandamizi pale ccm lumumba na kufuta viatu vumbi mr fastjet.Mama sasa yupo kwenye CC ya CCM kama katibu wa uhusiano sera kimataifa.Nimejiuliza juzi iweje amekubali kanafas kama hako mtu ambaye aliheshimika vzr?!!!Pua nukajiuliza hawezi kubuni kitu flan kwa maslahi ya Taifa na watanzania kwa ujumla?
Mama sasa yupo kwenye CC ya CCM kama katibu wa uhusiano sera kimataifa.Nimejiuliza juzi iweje amekubali kanafas kama hako mtu ambaye aliheshimika vzr?!!!Pua nukajiuliza hawezi kubuni kitu flan kwa maslahi ya Taifa na watanzania kwa ujumla?
sijui tanzania hii ina nini hata kama viongozi wetu wakienda kufanya kazi za kimataifa wakirudi bongo ni afadhali ya kutokwenda hakuna kipya wanacholeta
Pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
top secret-anatayarisha kwa kazi mmoja kubwa sanaWana JF,
Greetings..
Namuulizia yule Mama Dr Asha Rose Migiro baada ya kutaka UN, Kwasasa anafanya kazi gani hasa hasa ya kuinua Taifa ? Naskia ni mjuzi wa Sheria ina maana hata darasa la kufundisha hajapatiwa huko nyumbani jamani ?
Naomba kufahamu hili.....
The Fixer,
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums