kuna kufanana flani hivi!
kushoto ni Asha Rose Mwalimu wangu, lakini naona kama wamefanana au mzee Summary alikatiza?Yupi ni Asha Rose na yupi ni Nancy Sumari?
Huyu jamaa hakuwepo? Maana ndio specialization yake hiyo mihadhara ya kina mama wa aina hiyo
​
Haha... Akitoka hapo anakuja kusema " Now we are on track"!
miguu yake ooh salale......vumbi tupu.......sijui hana voiture
Hahaha umeua mkuu mi macho yangu yaliangukia hapo kwanza................Alitoka shambani si amerudi homeMiguu yake ooh salale......vumbi tupu.......sijui hana voiture
teh teh teh..nimesoma nimejikuta nacheka mwenewe. Agwe njoo ujibu hoja huku..lolMiguu yake ooh salale......vumbi tupu.......sijui hana voiture
Ma "super star" wa kike wa Bongo wangekua wanavaa mavazi ya kiheshima hivyo, kidogo wangejiekea respect tofauti na sasa.