Dr. Asha-Rose Migiro AND Nancy Sumari

seniorgeek

JF-Expert Member
Sep 18, 2008
500
250
Ma "super star" wa kike wa Bongo wangekua wanavaa mavazi ya kiheshima hivyo, kidogo wangejiekea respect tofauti na sasa.
 

isambe

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
2,163
2,000
Wabantu wote tunafanana,kuanzia matumbo kwa wanaume na mawowowo kwa wanawake!zamani ukiwa na pasipoti yoyote hata kama sio picha yako unapita airport nyingi za ulaya.
 

Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
12,680
2,000
Hilo Penzi kwa hakika hata lile la babu yangi ni bora!! Khaa, hivi hana company ya wanaume? Analeta mashaka sasa!!
 

Nyunyu

JF-Expert Member
Mar 9, 2009
4,361
1,250
Ningependa sana aje kule kwenye Business and Economic forum, maana kuna report ya WB kuhusu uchumi wetu, ndo aseme wako kwenye right trach au tuna gain speed kurudi nyuma!!
 
Top Bottom