DPP probes Mengi, Rostam squabbles-Daily News

Ile kesi ya Mengi dhidi ya RA itakapoanza kuiva DPP ataingilia kati na kuamua kuifuta.. na PCCB wataona kuwa hawana cha kuchunguza kwenye madai ya RA dhidi ya Mengi.. kwa kifupi at the end of the day ubao wa magoli utaonesha 0-0!
 
anayeota mwisho wa mengi kupitia nyaraka za rostam, aote pia mwisho wa wahindi wote hapa nchini, potelea mbali kama ni noma na iwe noma, mambo ya wahindi kututawala kwa kununua viongozi
 
Huyu DPP Feleshi ni bomu, ameshindwa kuwapeleka kizimbani Chenge na Rashid wakati SFO wa uingereza wamempa ushahidi wa kujitosheleza kuhusu kashfa ya Radar!!Hawezi kumpeleka Rostam kizimbanio kwani wanamtandao ndio waliompendekeza kuwa DPP!!
 
Hawa watakutanishwa nyuma ya pazia na mambo yote kuekwa sawa,kwani kuendeleza mibweko hii kunahatarisha Uhai wa Chama Cha Sultani CCM ,hapa tutaona usanii wa kufa na kupona ili mambo yawe shwari. Na huyo DPP ajue tu kuwa kila mshika mawili moja linaweza kumponyoka.Hivyo anatakiwa awe makini katika kusuluhisha.
 
Back
Top Bottom