DPP probes Mengi, Rostam squabbles-Daily News | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DPP probes Mengi, Rostam squabbles-Daily News

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kitia, May 8, 2009.

 1. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2009
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Picked this up from Daily News website:

  The Director of Public Prosecution (DPP), Mr Eliezer Feleshi, said yesterday that his office has started to scrutinise reports of graft, tax evasion and economic sabotage linked to prominent businessmen Mr Reginald Mengi and Mr Rostam Aziz.

  The two businessmen are currently engaged in an unprecedented war of words and name calling in the local media. The IPP Chairman, Mr Mengi, had earlier referred to the Igunga legislator, Mr Rostam as one of the top five most corrupt persons in the country, whom he named as "sharks."

  A few days later, Mr Rostam came out with scathing attacks against Mr Mengi, branding him as a paranoid, tax evader and an economic saboteur. On Tuesday, Mr Rostam went to the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) offices in Dar es Salaam and presented a report detailing what he described as "documentary evidence implicating Mr Mengi in various criminal transactions."

  The following day, Mr Mengi filed a libel suit against the Igunga legislator at the High Court in Dar es Salaam demanding a whooping 10bn/- in damages. The DPP told the 'Daily News' that his office was looking for the authenticity of the claims as reported in the media.

  "Our investigative machinery is working on the allegations and we are going to act accordingly," Mr Feleshi said. Meanwhile, the DPP said his office and that of the Directorate of Criminal Investigations (DCI) have started conducting capacity building courses to the staff. Mr Feleshi said his office planned to recruit 157 lawyers in a couple of years, but has so far hired 47.
   
 2. t

  tk JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 270
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Naamini huu ndio utaratibu bora wa kumaliza tatizo hili. Vyombo vyote vya dola viingilie kati vichunguze ukweli wa tuhuma zote kwa kila mmoja upande wake. Kisha walinganishe taarifa zao na kisha wachukue hatua za kisheria bila kujali umaarufu wa mtu au uhusiano wao na wakubwa.

  Tatizo watalokumbana nalo ni kuwa, mapapa na manyangumi wote wana uhusiano mkubwa na vigogo wa nchi hii.

  Kutokana na historia, hata kama shutuma hizi zitafunikwa katika utawala huu, huko mbele lazima zitakuja kufufuliwa pale atapokuja kiongozi muadilifu.
   
 3. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hii kali. DPP ana jalada la Kagoda anasema hajakamilisha, leo ameanza kuwa mpelelezi ama ndio amekabidhiwa jalada la uchunguzi na "Kachero" Rostam ambaye uchunguzi wake unakuibalika haraka na naamini atatoa kibali cha mashitaka dhidi ya Mengi haraka sana.
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nimeshaanza kupata mwanga.... at the end of the day, aidha wote watashtakiwa au wote wataachiwa
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Labda na huo upelelezi wa Mengi hautkamilika vilevile... mazingaombwe mengi sana nchi hii siku hizi
   
 6. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2009
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Aibu tupu kwa bwana Feleshi na cheo chake. Uchunguzi / upelelezi anafanya yeye au polisi?

  Isije ikawa ni mlolongo wa akina mama Simba na yule kada wa CCM kupayuka baada ya kutajwa Rostam.

  Ya Kagoda yamemshinda kuchunguza / kupeleleza, ngoja tuone atavyoyapeleka haya ya boss wao Rostam
   
 7. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  lakini upande mwingine ni vizuri vyombo vinavyohusika vifuatilie tujue ukweli
   
 8. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Umekamilika ndio maana siku chache baada ya Rostam kupeleka PCCB tayari DPP kakabidhiwa. Kumbuka kesi zote zinazochunguza na PCCB na Polisi huchukua muda gani kwenda kwa DPP, sasa unaambiwa tayari kwa DPP, ujue kumekucha hakuna utani. Mara nyingi kama upelelezi bado jalada haliendi kwa DPP, likienda likarudi ni kwa mapungufu na kama DPP anasema wanalichunguza ina maana hakuna mapungufu. Mwaka huu tutaona mengi
   
 9. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hivi ni Feresi mwenyewe ambaye hajui kama kagoda pamoja na kuforge watapelekwa mahakamani au huyu mwingine, maana sioni ni vipi sasa atagundua kuwa kagoda ni RA pamoja.

  Huu ni mwisho wa Bw. Mengi kwani ndiye pekee atakayechunguzwa na wala si RA kwani chakuchunguza walishasema hakiwezekani yaani KAGODA sasa wataweza wapi.

  Mzee Mengi watu wachache lazima wajitoe kafala kwa ajiri ya wengi, Historia itakukumbuka milele kwani nahisi mwisho wako unakaribia
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,496
  Likes Received: 81,818
  Trophy Points: 280
  DPP naye ni fisadi tu, inaonyesha priorities zake ziko wapi. UPUUZI MTUPU!!!
   
 11. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2009
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,968
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Ninadhani uchunguzi dhiidi ya mengi ni rahisi zaidi kukamilika, kwa sababu Rostam ametoa report yenye details. Kwa wapelelezi kazi yao ni kuthibitisha kwenye taasisi husika, lakini kwa kagoda kazi ipo kwa sababu ni hadithi tuu hakuna sehemu ambako RA ameweka sahihi au kuhusihwa kwa jina lake this man is smart.sasa mzee Mengi kaingia kichawakichwa.Labda wambane RA kwenye kodi katika kampuni zake zinazojulikana.
   
 12. M

  Mulugwanza Member

  #12
  May 8, 2009
  Joined: Feb 3, 2008
  Messages: 89
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  DPP wenzako walishakwambia kuwa kuwafkisha wamiliki wa kagoda mahakamani nchi itatikisika, sasa leo wewe utaanzaje kumchunguza RA??? au kwa maana nyingine ni kuwa unamchunguza Mengi maana huna ubavu wa kumkamata RA na kundi lake!!!!!
   
 13. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Lakini feleshi si kasema ANACHUNGUZA!!!???
   
 14. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Do you think they walk the talk?
   
 15. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2009
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wale wengine waliotajwa na Mengi yaani Subash, Manji na Tanil wanachunguzwa na nani! Walau Jeetu kesi yake iko mahakamani. Kwa nini basi iwe ni Rostam peke yake na sio hao wengine, ama ndiyo njia ya kumsafisha kwa vile kachafuliwa sana na kwa kuwa Subash yuko close na yule wa jumba jeupe basi asitajwe wala kuchunguzwa!
   
 16. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2009
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kwa watu kama hawa, Mengi na RA

  1+1 = 3

  Kwa walala hoi

  1+1 = 2

  Yes, kwa nini wengine waliotajwa hawamo kwenye list ya DPP? Vinara na wasemaji ndio wanachunguzwa peke yao? Anachokifanya DPP ni kujifanya uchunguzi utafanywa ili kuwasafisha hawa jamaa na kuzima KASHFA nzima ili wewe na mimi tusahau. Wameshajua kuwa hili gumzo na kuitana majina kama PAPA, FISADI, NYANGUMI, n.k. yanaigusa zaidi Chama Cha Mafisadi.

  My prediction: At the end of the day, no one will face charges, USANII!
   
 17. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2009
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  - Ukisoma barua ya Salva Kwa RA, undoubtedly inathibitisha kwamba Rostam ndiye mheshimiwa President wetu (though remotely) - the guy is in power, JK ni boya tu; sasa huyo DPP ataamua kitu gani?? Kafumbwa mdomo issue ya Kagoda itakuwa hii ya akina Mengi?? Ofcourse Feleshi lazima aangalie maslahi yake ... ana watoto na familia na kazi anaipenda .. akipewa pesidential order atabwata?? ... ni lazima ataufyata tu!!

  - But there is one thing wana JF amabacho sijaelewa ... how dareful is Regi Mengi?? ana siri nzito ambayo JK anaiogopa au ana watu wanaomlinda serikalini?? i mean watendaji??
   
 18. Joel

  Joel JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 908
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  kwa kweli hii ndio hatua inayofaa kuchukuliwa maana vita hivi vya maneno mwisho wake huwa sio mzuri
   
 19. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Vingekuwa vyombo vyenyewe ni indepentent singekuwa na tatizo. Lakini kama ni vile vile vyombo vilivyokataa kupelekea file la Kagoda mahakamani, na ni vile vile vilivyosema richmond hana matatizo !! NINA WASIWASI
   
 20. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wala huitaji kuwa na wasi wasi ndugu, ni kwamba tu unajua majibu tayari!

  But, well katika mazingira kama haya, mahakama ya wananchi nadhani ina nguvu na inaweza kutoa suluhu kuliko hizi ambazo zina subili amri kutoka kwa wakumbatia watuhumiwa.
   
Loading...