Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Rais SSH alikuwa chini ya jpm, aliposhika urais kafanana na jpm ki utawala?Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana.
Je alifanya akiamini kwamba mamlaka hiyo ipo sawa au alifanya kwa sababu ni ajira? Je tutegemee utashi wake au ataendelea kufanya kazi kwa kuangalia waliomteua wanataka nn Kama alivyofanya Biswalo?
Lakini kwa utendaji wake tunategemea kuna ubunifu na usukaji wa ofisi yake utafanyika? Tusubiri aanze kuicheza ngoma
Mambo mengine ni ya mslahi ya Tanzania zaidi mkuu. Huko Marekani magaidi waliokubali kuwa recruited na kutumika kama double agents wa Al Qaeda walifutiwa mshikata na ofisi ya DPP wa Marekani na kuachiwa kwa kazi maalum kwenda nchi kama Jordan na Lebanon kupeleleza viongozi waandamizi wa makundi mengine ya kigaidi.Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana.
what a career.. from law enforcement to dpp. what a cvHongera mwalimu wangu
Maisha ni safari wakuu
From police officer , state attorney now dpp
Kila la heri
Maisha ni safari mkuuwhat a career.. from law enforcement to dpp. what a cv
usiwe kichwa maji.... swala la kesi fulani kukosa dhamana ni la kisheria na liko kwenye vitabu na si hisani ya DPP.... kama mnataka kila kesi iwe na dhamana basi kabadilisheni sheria bungeni sio kulia na DPP......Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana.
Je alifanya akiamini kwamba mamlaka hiyo ipo sawa au alifanya kwa sababu ni ajira? Je tutegemee utashi wake au ataendelea kufanya kazi kwa kuangalia waliomteua wanataka nn Kama alivyofanya Biswalo?
Lakini kwa utendaji wake tunategemea kuna ubunifu na usukaji wa ofisi yake utafanyika? Tusubiri aanze kuicheza ngoma
Wakati mwingine uwe unajitahidi japo kidogo kuficha ujinga wako!Dpp mpya kaendelee kuwanyoosha mafisadi(chadema) wameumiza sana hii nchi
Ufanyaji kazi wake utategemea na wanaomtuma , hawa mara zote hutumikishwa tu , kama aliyemteua ni kivuruge basi na yeye atakuwa wa hovyoWakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana.
Je alifanya akiamini kwamba mamlaka hiyo ipo sawa au alifanya kwa sababu ni ajira? Je tutegemee utashi wake au ataendelea kufanya kazi kwa kuangalia waliomteua wanataka nn Kama alivyofanya Biswalo?
Lakini kwa utendaji wake tunategemea kuna ubunifu na usukaji wa ofisi yake utafanyika? Tusubiri aanze kuicheza ngoma
Nathani atatumia busara na hekima,huku akitambua kwamba cheo ni dhamana,leo unacho kesho huna.Tumpe muda.Wakili Mwanadamizi Slyvester Mwakitalu ni moja ya Mawakili waliokuwa chini ya DDP aliyepita na ambao walisimama kidete kutete Jamhuri kuhusu watuhumiwa kunyimwa dhamana. Alisimama kwenye kesi ya wakili Mwenzake Tenga katika review ya Mahakama Kuu nakusimamia haki ya watuhumiwa kunyimwa dhamana.
Je alifanya akiamini kwamba mamlaka hiyo ipo sawa au alifanya kwa sababu ni ajira? Je tutegemee utashi wake au ataendelea kufanya kazi kwa kuangalia waliomteua wanataka nn Kama alivyofanya Biswalo?
Lakini kwa utendaji wake tunategemea kuna ubunifu na usukaji wa ofisi yake utafanyika? Tusubiri aanze kuicheza ngoma
Kwa hiyo kubambikizia watu kesi ndio maslahi ya taifa?Mambo mengine ni ya mslahi ya Tanzania zaidi mkuu. Huko Marekani magaidi waliokubali kuwa recruited na kutumika kama double agents wa Al Qaeda walifutiwa mshikata na ofisi ya DPP wa Marekani na kuachiwa kwa kazi maalum kwenda nchi kama Jordan na Lebanon kupeleleza viongozi waandamizi wa makundi mengine ya kigaidi.
Ofisi kama hizo za DPP na AG zinafanya kazi kwa ukaribu mkubwa sana na vyombo vingine vya usalama hivyo msiwalaumu wanapotimiza wajibu wao unaoweza kuwakera nyie ila ni kwa maslahi ya taifa.
Kwa nchi kama Marekani, kuna wakati kunyima watu dhamana (Coercion) ni muhimu ili mtuhumiwa aweze kutoa ushirikiano kwa dola.
Kwa nchi kama Russia na Marekani ukikataa kuwa informer kwa FBI kwa njia ya kujitolea au kulipwa pesa itabidi watumie vitisho kama kupewa kesi za uongo ili ushirikiane na dola.Kwa hiyo kubambikizia watu kesi ndio maslahi ya taifa?
Naongelea Tz na sio USA au Russia. Learn the difference.Kwa nchi kama Russia na Marekani ukikataa kuwa informer kwa FBI kwa njia ya kujitolea au kulipwa pesa itabidi watumie vitisho kama kupewa kesi za uongo ili ushirikiane na dola.