uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,047
- 8,531
Tumearifiwa wakubwa walioletwa na watawala bandarini wameanza kusambaa nchini kwa ajili ya kujenga mahusiano mema na Watanganyika.
Wao dp world wanajua kuwa watanganyika waliwakataa ila watawala waliwaleta.
Hivyo njia nzuri wameona ni kukaa karibu na Watanganyika.
Kwa kuanzia watajenga masjid kubwa Mbeya Njombe na Iringa na rukwa kabla ya kuenda mikoa mingine.
Hii ni awamu ya kwanza tutaendelea kuwajulisha.
Kwaheri TANGANYIKA karibu.