DP World amepata Bandari bila kupingwa

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,304
Reaction score
39,846
Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
 
Attachments

  • 9949C15F-7C4D-457D-8D26-754B7606969A.jpeg
    75.8 KB · Views: 37
Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
Kapewa bandari ipi na lini?

Hiyo sheria ua kuuza bandari au ipi?
 
Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
katika jambo ambalo sijajihusisha nalo ni hili. nilijua lilishapita
mwambulusi sijui yupo wapii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…